Katibu Mkuu alizungumza vizuri kwa maslahi ya chama na umma. Aliamini vyombo vya ulinzi vina makosa, ama kwa kuhusika moja kwa moja kama wanavyoshutumiwa au kwa kutotekeleza wajibu. Mwenyekiti yeye anawatetea vyombo (100%) tu na kuwalaumu wahanga na umma unaodai haki kutendeka!
The logic is...
Utunzi huu (wa M. Mpoto) ni kielelezo cha ubora na uzuri wa lugha yetu ya Kiswahili. Kila neno na kifungu ndani yake kinaakisi utajiri wa tamaduni na maadili ambayo tumerithi. Ni jukumu letu kama jamii kuhakikisha tunalitunza na kulienzi hili tunu.
Kiswahili ni zaidi ya lugha; ni kiungo muhimu...
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
Watanzania tuko zaidi ya ml 60
Wa makabila,Imani na itikadi tofauti
Tunaunganishwa kwa pamoja na utaifa wetu unaotambulishwa katika katiba ya JMT.Kuna dhana ya wanasiasa kutaka kudhani kuwa wao pekee Yao ndo Wana uhalali na uwezo wa kuamua hatima yetu kama watu na kama Taifa
Wanasiasa Watambue...
Ndugu zangu wanaJamiiForum
Nakusalimuni huko huko mlipo.
Nijikite kwenye hoja
Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania.
Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu.
Kila...
Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo.
Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani?
Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli.
Me ni mwana CCM ili siwezi kufurahishwa na ushindi wa wizi na kunajisi democracy. Tushindane Kwa sera na vyama vingine...
MBUNGE NGASSA: " WANA IGUNGA KWA SASA TAIFA LETU LINA UMEME WA KUTOSHA"
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Ameendelea na Ziara Jimboni kwenye ngazi ya chini ya Utawala ya Vitongoji huku atokia ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa Wananchi pamoja na;
1. Kutoa mrejesho wa...
Kila baada ya wiki Moja linaibuka jambo jipya sana Lina trend sana Kwa Tanzania Kwa mfono wiki iliyoisha yalikuwepo matukio mawili makubwa ambayo ni Mauaji wa Mtoto Asimwe na Mgomo wa Wafanya biashara Nchi nzima. Sasa wikii hii (01.07.2024) Hostest news Kwa Tanzania ni
1.Mchungaji peter Msigwa...
Tanzania ni nchi iliyo barikiwa sana ilikuifikia Tanzania tuitakayo ,ningependa kutoa maoni yangu katika secta ya madini Nchi yetu ina madini ya kutosha hususani madini ya chuma yanayo patikana mkoa wa njombe na makaa ya mawe yanayo patikana mkoa wa Ruvuma hivyo basi ili kuweza kuyeyusha chuma...
Umeme ni nishati muhimu sana na tunu katika manufaa makubwa ya maisha yetu ya kila siku. Umeme unaumuhimu mkubwa sana katika nyanja zifuatazo;
1. Uendeshaji wa viwanda vikubwa na vidogo vidogo. Umeme husaidia sana kuendesha viwanda hivyo gharama zikiwa kubwa ata bidhaa zitauzwa kwa bei kubwa na...
Ukatili wa kijinsia kwa watoto ni kitendo chochote anachoweza kufanyiwa mtoto na kikasababishia madhara ya kimwili, kisaikolojia na kiafya. Ukatili wa kijinsia kwa watoto unaweza kusababisha madhara mengi ikiwemo mtoto kutengwa katika jamii, mtoto mwathiriwa wa ukatili kujiua na mateso mengine...
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo.
Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo.
Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
TAIFA LETU LA KESHO
Katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita, Tanzania imepiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hata hivyo, bado kuna safari ndefu ya kufikia maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Tanzania ijayo inahitaji mkakati madhubuti utakaohakikisha kwamba kila...
UTANGULIZI
Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii muhimu kwa kuleta mapendekezo na mawazo bunifu yatayoimarisha nchi yetu kwenye sekta ya nyumba na makazi bora kwa raia wa Kitanzania.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi, hii inafanya kuwa na ongezeko kubwa la...
TEKNOLOJIA- SILAHA KALI YA ULIMWENGU MAMBOLEO.
Ni ukweli usio fichika kwamba karne ya ishirini na moja imeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika ukuaji wa teknlojia duniani. Sekta kama viwanda,kilimo na ata sekta za huduma kwa jamii kama hospitali na elimu zimenufaika na mageuzi haya ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na...
Hii ni historia ya Tanganyika ambayo inasimuliwa na Sheikh Zuberi bin Yahya.
Anasema Sheikh Zuberi( pay attention) Seyyid Majjid, Sultan wa Zanzibar kuanzia Octobet 19,1856 mpaka October 7, 1870, alininua kiwanja kikubwa maeneo ya Mzizima eneo ambalp linajumuisha viwanja vya Ikulu,kanisa la...
Inasikitisha sana.
Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana.
Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu.
Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei.
Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.