Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Unamteka mtu na kumpoteza. Familia na ukoo mzima wanaumia. Jamii inayomzunguka inaumia na kutengeneza kidonda ambacho hakiponi.
Watu wanajawa na chuki. Wanawaza kulipa kisasi kwa kupoteza wapendwa wao.
Watalipa vipi visasi? Hapa ndipo tunazalisha tatizo kubwa amabalo ni jipu ambalo haliwezi kutibiwa kwa kirahisi.
Kwa nini utekaji na kesi za ugaidi uwe suruhisho? Kuliko kudhibiti ufisadi mkubwa unaofanywa na wanaCCM Mtandao?