The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Ni kwamba kwa kawaida Ilitakiwa chama kiisimamie serikali ili serikali isifanye ubabsishaji katika kuwahidumia wananchi, ila sasa hali ni tofauti kabisa kwani ccm pamoja na serikali wameingia kwenye ndoa tamu sana ambapo kila mmoja anatafuta namna ya kumbeba mwenzie bila kujali wananchi watapitishwa kwenye matope aina gani.
Msumari wa mwisho kwenye hilo jeneza ni machawa, ambao kwakweli wako tayari kutetea chochote maadamu tu kimesemwa na wanaowachawia.
Hili wimbi litazalisha majuzi na mafisadi makubwa sana kuwahi kutokea katika nchi yetu, kwani katika hali ya kawaida mtu akiiba ataenda karibu na mmiliki wa machawa alafu wataanza kumuimba na kumsafisha kwa nguvu sana then itaisha hivyo.
Kwa upande wa media nazo pia zimeparalize na kucompromize hivyo taifa letu lipo njiapanda ngumu sana.