Hii kalabo ya CCM serikali na machawa vinaliua taifa letu kwa Kasi ya ajabu awamu hii haijawahi tokea.!

Hii kalabo ya CCM serikali na machawa vinaliua taifa letu kwa Kasi ya ajabu awamu hii haijawahi tokea.!

Na wewe acha upumbavu, kila kitu Jiwe chuki gani hii, huwezi ukachangia bila kumtaja Jiwe mabaya yote Jiwe, sifia na mazuri, hizo ni chuki binafsi, una chuki kama za Yericko dhidi ya Lissu/Heche.
Nyie, au wewe binafsi, umewahi kusifia zuri hata Moja la Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania?!!!! Au Hana tu?
 
Unaweza kunianishia matatizo ya Tek mkuu hebu yataje hapa na mimi nikutajie athari za hicho nilichokuambia
Sitokutajia matatizo ya TEC, hiyo itakuwa kushambulia TEC kama TEC, mi nitakutajia matatizo ya huo muungano wa chadema, katoliki na TEC. Tatizo kuu ni Moja tu, kuobuka hisia za ubaguzi wa kidini. Karibu sana!
 
Gentleman,
mie nadhani,
huenda muunganiko wa kinafiki wa kuchochea chuki na kuhamasisha uhasama baina ya kanisa na chadema, ukawa na athari mbaya zaidi kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa wafuata mkumbo kwa miaka mingi sana ijayo.

Na in fact,
muungano huo una sura ya kuchoka amani na kupendea zaidi ghasia, uharibifu na maafa zaidi miongoni mwa waTanzania 🐒
Hatimae umefikiwa kikamilifu...
 
Yeah,
yaani katibu mkuu wa teki ndio mwenyekiti kivuli wa chadema taifa? Ni hatari sana aise

Lengo ni moja tu waTanzania wamwage damu 🐒
Wafuasi wa Mwarabu wapo tayari Kuua kwa sababu tu ya Ubwabwa!

Ni Ubwabwa tu ndo umefunika ufahamu wa wavaa kanzu
 
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Ni kwamba kwa kawaida Ilitakiwa chama kiisimamie serikali ili serikali isifanye ubabsishaji katika kuwahidumia wananchi, ila sasa hali ni tofauti kabisa kwani ccm pamoja na serikali wameingia kwenye ndoa tamu sana ambapo kila mmoja anatafuta namna ya kumbeba mwenzie bila kujali wananchi watapitishwa kwenye matope aina gani.

Msumari wa mwisho kwenye hilo jeneza ni machawa, ambao kwakweli wako tayari kutetea chochote maadamu tu kimesemwa na wanaowachawia.

Hili wimbi litazalisha majuzi na mafisadi makubwa sana kuwahi kutokea katika nchi yetu, kwani katika hali ya kawaida mtu akiiba ataenda karibu na mmiliki wa machawa alafu wataanza kumuimba na kumsafisha kwa nguvu sana then itaisha hivyo.

Kwa upande wa media nazo pia zimeparalize na kucompromize hivyo taifa letu lipo njiapanda ngumu sana.
sasa hivi hata hamu ya kuipenda nchi yao watu hawana watu hawalipendi taifa lao hata jwtz ambayo ndio moyo wa taifa limepoteza hadhi na heshima mbele ya watanzania ccm na serikali ndio kabisaaaaaaaa watu hawataki hata kuwaona na hata huyo samia anajua siku akifa itakuwa shangwe afrika nzima.
 
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Ni kwamba kwa kawaida Ilitakiwa chama kiisimamie serikali ili serikali isifanye ubabsishaji katika kuwahidumia wananchi, ila sasa hali ni tofauti kabisa kwani ccm pamoja na serikali wameingia kwenye ndoa tamu sana ambapo kila mmoja anatafuta namna ya kumbeba mwenzie bila kujali wananchi watapitishwa kwenye matope aina gani.

Msumari wa mwisho kwenye hilo jeneza ni machawa, ambao kwakweli wako tayari kutetea chochote maadamu tu kimesemwa na wanaowachawia.

Hili wimbi litazalisha majuzi na mafisadi makubwa sana kuwahi kutokea katika nchi yetu, kwani katika hali ya kawaida mtu akiiba ataenda karibu na mmiliki wa machawa alafu wataanza kumuimba na kumsafisha kwa nguvu sana then itaisha hivyo.

Kwa upande wa media nazo pia zimeparalize na kucompromize hivyo taifa letu lipo njiapanda ngumu sana.

Kuna jambo moja ambalo tunapaswa kulielewa kama taifa. Kila tunapoona nguvu mpya za kijamii, kisiasa na kitaasisi zikianza kuungana kudai uwajibikaji, demokrasia na mabadiliko, tusikimbilie kutafsiri jambo hilo kama mwanzo wa kuiangusha nchi.

Taifa si chama cha siasa, Serikali wala kikundi cha watu wenye mamlaka. Taifa ni wananchi, taasisi zao na misingi inayowaunganisha.

Wakati mwingine kinachohitaji kuanguka si nchi, bali ni mfumo uliopitwa na wakati, mfumo unaozuia uwajibikaji, unaotukuza uchawa kuliko uwezo, unaoweka utii kwa watu mbele ya utii kwa sheria na unaofanya kuuliza maswali kuonekana kama kosa.

Kwenye ulimwengu wa mimea, mbegu mpya inapochipua, ganda la zamani lazima lipasuke. Hiyo haimaanishi kwamba mmea unaangamizwa ni mwanzo wa uhai mpya. Vivyo hivyo, mabadiliko ya kweli yanaweza kuhitaji mifumo ya zamani kuachia nafasi ili misingi mipya ya uongozi, haki, uwajibikaji na demokrasia iweze kukua.

Tusichanganye kulinda taifa na kulinda mfumo fulani wa kisiasa. Taifa linapaswa kuwa na uwezo wa kubadilisha mifumo yake kwa njia za amani, za kikatiba na kidemokrasia bila kuhatarisha uwepo wake.

Historia inatufundisha kuwa hakuna mfumo wa kisiasa ulio juu ya wananchi wala ulio na hati miliki ya taifa milele.

Tunachohitaji si kuangusha Tanzania, bali kujenga Tanzania ambayo hakuna mtu, chama wala kikundi kinachoweza kujiweka juu ya sheria na maslahi ya wananchi.
 
Nchi haina mwenyewe acha wajanja wajipigie huenda mbeleni huko kukapatikana kizazi kitakachotumia rasilimali kidogo itakayokuwa imebaki na kulisogeza taifa mbele.

Natamani kwasasa kila naojiona mtu kavalia bakabaka niwe nafumba macho naposikia mtu anasemwa huyu ni mtiss niwe naangalia pembeni ili tu nisiwashuhudie watu walioamua kusaliti viapo vyao na kuliangamiza taifa.
 
Sitokutajia matatizo ya TEC, hiyo itakuwa kushambulia TEC kama TEC, mi nitakutajia matatizo ya huo muungano wa chadema, katoliki na TEC. Tatizo kuu ni Moja tu, kuobuka hisia za ubaguzi wa kidini. Karibu sana!
Hisia za ubaguzi wa kidini kivipi mkuu una ushahidi wa ni nani alibaguliwa kwa sababu ya dini yake unazo hizo nukuu hapa!?
Au ni hisia tu!?
 
Nyie, au wewe binafsi, umewahi kusifia zuri hata Moja la Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania?!!!! Au Hana tu?
Mada inahusu mfumo kuharibika na kuacha kuwajibika kwa wananchi badala yake ccm na serikali wako kwenye fungate zito sana
Huku machawa wakiwa huku nje wakiendelea kushadadia kwa nguvu zote bila kujali kinachoendelea huko ndani
Maadamu tu wao wamerushiwa vipipi huku njee!!
 
Gentleman,
mbona unanipa tena mimi kazi ambayo inafanywa vizuri mno na teki, wakishirikiana na chadema?🐒
Mada haihusiani kabisa na Tek mada inasema kuna kolabo ya serikali na ccm
Ikisindikizwa na machawa. Yaani hao machawa huwaambii kitu.
Yaani wao kazi yao ni kutukuza tu hata kama vitu vilivyofanywa ni vya kijinga na vya kitoto, bado machawa watatoka kusifia kwa nguvu sana
Na ikitokea umekisoa kwa nguvu vitu ambavyo serikali inafanya chini ya kiwango eti wanatokea ccm wanakushambulia.

Kwa maneno rahisi ni kwamba ccm inaisafisha serikali kwa maovu yake
 
In fact,
najaribu kukufungua kifikra wewe, wafuata mkumbo wenzako na wadau wote wa JF kwamba hatari kubwa zaidi tuliyonayo kama taifa kwasasa,

ni hii hamasa na uchochezi wa chuki, uhasama unaoendelea na, unaoelekea kwenye umwagaji damu za vijana waTanzania, hamasa inayofanywa kwa nguvu kubwa sana ya ushirikiano baina ya teki na chadema, tofauti na hiyo porojo yako ya kutafuta kiki na public sympathy.

Nilichoeleza ndio haswa hatari ya wazi kabisa nchini ambayo tunapaswa kuchukua hatua muafaka kabla ya uharibifu zaidi 🐒
 
Unaposema uchochezi ni nani anamchochea nani ili iweje tatizo lako hata ushindani wa kisiasa unaita uchochezi madai ya haki unaita uchochezi acha kukariri maisha
Kuwa chama tawala haimaanishi uwaamulie watu cha kuwaza na kufikiri
Mtu akisema tunataka uchaguzi wa haki na huru kamchochea nani mtu akisema tunataka tume huru ya uchaguzi anamchochea nani mtu akisema tunataka tume ya kuaminika kuchunguza matukio ya Oct 29 kamchochea nani?
 
kwahiyo kanisa na chadema wanashirikiana kufanya ushindani wa kisiasa kwa kuchochea chuki na kuhamasisha uhasama miongoni mwa waTanzania, right?🐒
 
Gentleman,
kwahiyo kanisa na chadema wanashirikiana kufanya ushindani wa kisiasa kwa kuchochea chuki na kuhamasisha uhasama miongoni mwa waTanzania, right?🐒
Ulilisikia wapi kanisa linasema chukieni watu?
Lete tamko rasmi la kanisa linalowaambia watu chukianeni?!?
 
Back
Top Bottom