Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.

Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.

Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao wanaweza kupopolewa mawe na kukimbia hovyo sio suluhu.
 
Attachments

  • File_1789676296434.mp4
    5.1 MB
Ungewahi kwenda Jkt ungeelewa sio rahisi utoke kule uje uandamane wanakuondoa uraia wote wewe ni KUTII TU
 
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.

Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.

Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao wanaweza kupopolewa mawe na kukimbia hovyo sio suluhu.

Taja moja lililokuwa na compulsory military service
****** wa mama yako. Nenda ukanyonye.
 
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.

Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.

Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao wanaweza kupopolewa mawe na kukimbia hovyo sio suluhu.
Hapa Tanzania hakuna mwananchi mwenye hali mbaya ambae yuko tayari kufa kupigana na askari kudai haki yake iliyoporwa na viongozi, labda wabwia madawa na wavuta ndumu wanaoshinda vijiweni. Msijitoe ufahamu wa humu jf.

Kama hao wangekuweko wengi basi Lissu asingekuwepo gerezani hadi leo. Usijidanganye ukasababisha kilio kwa wazazi wako. Serikali isiyojali raia haiwezi kusambaza umeme, maji, barabara, shule, huduma za afya na pembejeo nchi nzima.
 
We ni matako. Unadhani Oktoba 29 ni tukio dogo?
 
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.

Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.

Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao wanaweza kupopolewa mawe na kukimbia hovyo sio suluhu.
Wanaweza wakakutoa kweriiiii mavi usipokua makini shauri yako
 
****** wa mama yako. Nenda ukanyonye.
Moja ya mafunzo ya kijeshi ni kukutoa MTERO yaani unafundishwa kula hayo matusi na mengine mnaimba Chenja kabisa, Jeshini matusi ni kama mkato na nukta …
 
Nenda kanyonye acha kusumbua baba zako tupo baa tunajadili mustakabali wa taifa letu.
 
Back
Top Bottom