Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata...
Kifo cha hayati JPM? Ulitamka wazi kuwa wamehusika ili waliibie taifa letu.
Hapo ndipo Watanzania wakapata ukweli kuwa wapinzani na wasio wapinzani wanauuliwa na CCM mtandao ambao wamemuweka Samia Madarakani.
Ulitamka mambo mengi mazito ambayo yaliyafanya watanganyika watake kulikomboa taifa...
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.
Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.
Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
Ilianzia kwa Job Ndugai ambapo baada ya kulamishwa kujiuzulu aliishi maisha ya hofu. Kifo chake mpaka leo hii kinatia mashaka. Alihoji suala la msingi kabisa deni la taifa kupaa juu kama Aviator bila kushuka.
Leo hii Nchimbi amelazimishwa kujiuzulu. Na inasemekana hakuaandika barua. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.