Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Kifo cha hayati JPM? Ulitamka wazi kuwa wamehusika ili waliibie taifa letu.
Hapo ndipo Watanzania wakapata ukweli kuwa wapinzani na wasio wapinzani wanauuliwa na CCM mtandao ambao wamemuweka Samia Madarakani.
Ulitamka mambo mengi mazito ambayo yaliyafanya watanganyika watake kulikomboa taifa lao Oktoba 29 2025