macho

  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hiki👇 kilichoandikwa ni nini, wakuu? Nimetokwa na macho mithili ya Zongobinyo mjue! 😲

    Kwa moyo mkunjufu nawakaribisha mashekhe, wachungaji, na wanganga wa kienyeji wanitafsirie hii 👇 michoro na maandishi Yana maana gani.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakazi zaidi ya 400 Sikonge wapatiwa matibabu ya kibingwa ya macho, waona tena, DC Semindu apongeza

    SIKONGE, TABORA – Mkuu wa Wilaya ya Sikonge, Michael Semindu ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na Shirika la Hellen Keller International kwa ushirikiano unaoendelea kuleta mapinduzi katika sekta ya afya kwa kusogeza huduma za kibingwa za macho karibu na wananchi. Semindu ametoa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lisu kuweni macho sana tena sana na TIME LIMITATION TO INSTITUTE APPEAL, ni kwa tahadhali tu!!!

    Ni tahadhali! Wala si kwamba hukumu itakuwa vile au hivi, NO. Hizi figisu alizokuwa akifanyiwa Lisu na prison eg za kunyumwa usiri, kuwekwa na wafungwa wa kunyongwa na " ukatili" wote aliofanyiwa, Rugemeleza Nshala be vigilant. Wanaweza kumwekea vigingi akakuta muda say wa ku lodge notice of...
  4. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Taliban imepiga marufuku matibabu ya kusaidia macho kuona kwa kusema kuwa matibabu hayo hayaendani na maadili ya kiislamu

  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Zanzibar ni kiini macho tu?

    Mtalii asema nje ya Hotel nzuri zinazong'aa na beach za kitalii huko mtaani ndani ndani hali ni mbaya sana na umasikini umetamalaki!, afananisha Hali hiyo na "dystopian"
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hata kama hautapatikana umelifumbua macho taifa lako. CCM mtandao ni wezi na wauaji.

    Kifo cha hayati JPM? Ulitamka wazi kuwa wamehusika ili waliibie taifa letu. Hapo ndipo Watanzania wakapata ukweli kuwa wapinzani na wasio wapinzani wanauuliwa na CCM mtandao ambao wamemuweka Samia Madarakani. Ulitamka mambo mengi mazito ambayo yaliyafanya watanganyika watake kulikomboa taifa...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mama usifumbe macho yako niko hapa

    https://www.facebook.com/share/r/19des4S3mc/ Wimbo "Mama, Don't Close Your Eyes" wa mradi wa "Bjorn Bonebreaker" uliotolewa Septemba 2026 ni wa kutengeneza na umetengenezwa kabisa kwa teknolojia ya akili mnemba (AI), ikiwemo video za tamasha na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Diwani Kata ya Buguruni: Jiji kuwa chafu ni kweli si jambo la lakuficha linaonekana kwa macho

    Diwani wa Kata ya Buguruni na Mjumbe wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Zahoro Muhaji, amesema kero ya uchafu na uondoaji wa takataka imekuwa changamoto kubwa inayowakosesha usingizi madiwani wengi jiji la Dar es Salaam. Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na M & S Podcast...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

    Habarini, Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha. Nilipita pita...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu matibabu ya macho na gharama zake

    Mke wangu ana matatizo ya mcho ya kuona mbali aliwahi kuugua macho akapona kama miaka 8 imepita. Sasa nimejaribu kufatilia kidogo nikasikia kitu kinaitwa mtoto wa jicho na matibabu yake ni kubadilishiwa lensi tu. Basi shida yangu nataka kujua makadirio ya matibabu yanaweza kufikia kiasi gani...
  11. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nimewachanganya mbu hawaamini macho yao

    Leo nimeingia mahala fulani kuna mbu wengi sana, sijaweka na wala situmiagi neti wala kupuliza sumu. Nimetumia mbinu ya kisaikolojia kupambana nao, huwezi amini mkuu yani wanalia kwa huruma hawaamini macho yao
  12. M

    JamiiForums Tanzania Macho yangu kisiasa na kisheria kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission , tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Japo Wamenyamaza Kama Mazuzu, na Hawaulizi Kitu, Ila wana Macho na Masikio,Wanatamani Wawe Wanaelezwa Ukweli, No Matter What!

    Wanabodi Naendelea na zile mada zangu za "The Voices From Within" ambazo ni mada za kufikirika tuu. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii...
  14. MulegiJr

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Huduma katika Hospitali ya Bugando, kitengo cha macho

    Imekuwa ni kawaida Watanzania especially wenye mishe mishe mjini kutafuta Huduma za kibingwa siku ya Jumamosi, ila Kitengo cha Macho cha Bugando ni moja ya kitengo chenye Huduma mbovu kuliko kitengo chochote. Leo ni wiki ya pili nampeleka ndugu yangu ila Dkt. Anatakiwa kuingia Saa mbili imagine...
  15. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mamia wafurika kambi ya matibabu ya macho MUHIMBILI Zanzibar

    Mamia ya wananchi wamejitokeza kupata huduma katika Kambi Maalum ya Matibabu ya Macho inayoendeshwa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Qatar Charity ambapo Septemba 01, 2026 huduma hizo zimeanza kutolewa rasmi...
  16. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Guinea; Miili ya watu sita yapatikana imefungwa mikono na kufunikwa macho

    Kupatikana kwa kaburi la pamoja lenye miili sita iliyofungwa na kufunikwa macho kusini magharibi mwa Guinea kumezua hofu na maswali mengi. Mashirika 20 ya kiraia barani Afrika yanaitaka serikali kufanya uchunguzi huru na kuwahusisha wataalamu wa ndani na wa kimataifa. Tukio hilo linakuja...
  17. min -me

    JamiiForums Tanzania Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

    Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche. Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi ...
  18. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mwanamume akamatwa baada ya kuvaa kama 'Grim Reaper' (Malaika wa Mauti) na kusimama juu ya paa la hospitali na kuwakodolea macho wagonjwa

    Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Leon Gillespie alikamatwa kwa kuvaa vazi la 'Grim Reaper' na kusimama kwenye paa la Hospitali ya Ysbyty Glan Clwyd huko Wales. Baada ya mahojiano likubali mashtaka mahakamani na kupigwa faini ya pauni 200 (£200) na mahakama ya Llandudno. Tukio hilo...
  19. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

    Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona? Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona? Unaona nini ukifumba macho yako? Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi? Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ? Unadhani ni halisi ? Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Tiba ya macho ya majani yanayoota pembezoni mwa mto

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kuna rafikiangu kwa sasa ni marehemu alikuwa anasaidia yoyote mwenye tatizo la macho,hasa ile hali ya mtoto wa jicho au hata jicho linaloanza kuwa na uoni hafifu au kuwa kama na ukungu hivi. Huyu jamaa yangu marehemu alikuwa anachuma majani fulani mabichi...
Back
Top Bottom