Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
22,235
Reaction score
51,111
Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona?

Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona?

Unaona nini ukifumba macho yako?

Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi?

Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ?
Unadhani ni halisi ?
Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa chako?

Mimi nikifumba macho kwa nguvu huwa naona vitu kama rangi rangi

Naweza kuona vitu kama miale kama hilo eneo lina mwanga mkali

Sasa hizo rangi rangi miale
Ni kwamba mtu anaona kweli au ni ubongo unatengeneze picha kwenye akili ?

Lakini pia wakati mwingine ukifumba macho unahisi kama bado unaona

Mfano, unaweza kufumba macho lakini uk01atembea ndani na unaweza kujua kama hapa kuna kabati, jiko, au vitu vingine na huvigongi

Sasa hapo unaona au ubongo wako unatumia kumbukumbu ulizozihifadhi?

Je, hii inamaanisha huwa tunaona kwa macho pekee, au kuna namna ubongo wetu unatengeneza picha hata bila kuona?

Usiku 01:01 kama hujalala njoo tupige story hapa

ShesRise_1 ✋️
 
Ukifumba macho bado "huoni" kwa macho, bali ubongo unaendelea kuchakata taarifa. Hizo rangi, miale na maumbo ni shughuli za mfumo wa kuona kwenye ubongo, huku kutambua kabati au jiko ni kumbukumbu na mazoea ya mazingira. Kwa kifupi, macho hufungwa lakini ubongo hauzimiki. 😊
 
Macho kufungwa lakini ubongo hauzimiki !

Hii ina make sense
 
Back
Top Bottom