Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,774
- 26,210
kabisa, vinafanya kazi kwa pamoja na kushirikiana.Ubongo na moyo ni washirika muhimu katika ku operate mwili
Swali; kati ya moyo na uongo ni kipi kinachotangulia au kuchelewa kufa?
kabisa, vinafanya kazi kwa pamoja na kushirikiana.Ubongo na moyo ni washirika muhimu katika ku operate mwili
🤔kwa kweli sijuiUna uhakika kaburini utapmzika?
Hii ni ndani ya mada 🤔
Sina hakika nitakujibu kwa hisia zangu nadhani moyo huzima wa kwanza then ubongo ndio unafunga dimbakabisa, vinafanya kazi kwa pamoja na kushirikiana.
Swali; kati ya moyo na uongo ni kipi kinachotangulia au kuchelewa kufa?
So ni theory tu kwamba kaburini kuna kupmzika hakuna ushahidi wa kutosha si ndio?🤔kwa kweli sijui
ni kweli kwa kuwa hakuna aliyekufa alafu akarudi kuthibitisha hiloSo ni theory tu kwamba kaburini kuna kupmzika hakuna ushahidi wa kutosha si ndio?
Lakini watu kua na dhana ya mapmziko kaburini ni kwa sababu moyo unapoacha kusukuma damu na kuzimika na ubongo kuacha kufanya kazi yakeni kweli kwa kuwa hakuna aliyekufa alafu akarudi kuthibitisha hilo
View: https://vm.tiktok.com/ZS4fqudgK/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
inabaki kuwa "dhana" tuLakini watu kua na dhana ya mapmziko kaburini ni kwa sababu moyo unapoacha kusukuma damu na kuzimika na ubongo kuacha kufanya kazi yake
Maana yake hakuna uhai so watu huamini hakuna tena maisha hapo kwa sababu uhai hamna
Kwa upande mwingine watu wa dini wao wana imani nyingine
Ukisoma bible na Qur'an utakutana na hadithi nyingi kua kuna maisha baada ya kifo
Hakikainabaki kuwa "dhana" tu
😃haya lala sasaHakika
Siwezi kulala hata nikitaka😃😃haya lala sasa
😁umekutwa na situation gan au ulilala mchana mwenzetu?Siwezi kulala hata nikitaka😃
Ukija hivi hua nakuona kama kijana mdogo mwenye nidhamu kubwaUkifumba macho unaendelea kuona, kumbuka jicho ni mechanical tu... Ni kiungo tu, kina sense light ile miale ni kama kiashiria cha mwanga... Na kingine ile miale ukifunga macho nadhani itakua ni kiashiria cha nishati ndani ya jicho..
Nipo lindo mimi ni mlinzi mkuu😁😁umekutwa na situation gan au ulilala mchana mwenzetu?
😂hakikisha pakti la sigara na tochi usikoseNipo lindo mimi ni mlinzi mkuu😁
Sigara hapana nitaharibu mapafu na kufanya mdomo uwe mweusi kama wa kunguru😂hakikisha pakti la sigara na tochi usikose
kama mlinzi sigara zinaliwaza sana ukiwa lindoni, ila wewe unajiliwaza na Jf.Sigara hapana nitaharibu mapafu na kufanya mdomo uwe mweusi kama wa kunguru
tochi ninayo kuubwa kama zile za mgodini