Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona?

Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona?

Unaona nini ukifumba macho yako?

Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi?

Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ?
Unadhani ni halisi ?
Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa chako?

Mimi nikifumba macho kwa nguvu huwa naona vitu kama rangi rangi

Naweza kuona vitu kama miale kama hilo eneo lina mwanga mkali

Sasa hizo rangi rangi miale
Ni kwamba mtu anaona kweli au ni ubongo unatengeneze picha kwenye akili ?

Lakini pia wakati mwingine ukifumba macho unahisi kama bado unaona

Mfano, unaweza kufumba macho lakini uk01atembea ndani na unaweza kujua kama hapa kuna kabati, jiko, au vitu vingine na huvigongi

Sasa hapo unaona au ubongo wako unatumia kumbukumbu ulizozihifadhi?

Je, hii inamaanisha huwa tunaona kwa macho pekee, au kuna namna ubongo wetu unatengeneza picha hata bila kuona?

Usiku 01:01 kama hujalala njoo tupige story hapa

ShesRise_1 ✋️
Kimsingi unatakiwa ukifumba macho uone visivyoonekana, Hapa ndio mtihani mkubwa ulipo, kama pineal gland yako haiko blocked na matakataka unatakiwa kuona, mawazo unayafumbia macho tu, lakini uono wa kiroho hauna limit.
Hapa ndio kwenye somo la kwanza katika kufungua uono wako wa kiroho, mengine usiniulize ni magumu na yanataka uyafuatilie, siyo ya kila mtu.
 
Kwanini hutaki nikuulize huoni kama unanikatiri😢
 
Asubuhi njema mdogo wangu

Ila ukumbuke kufumba jicho hakufanyi wewe uache kuona, unaona ila unaudhibiti mwana wa nje kufikia retina,
Na kwako pia kijana mdogo uwe na siku njema
Na asante kwa comment yako 🫰
 
Back
Top Bottom