ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #81
ShikamooSasa ndio nimeona uzi! 😊
Karibu ndani ya mada😊
ShikamooSasa ndio nimeona uzi! 😊
Mkuu kwanza inabidi uelewe kuwa ndoto ni tafsiri ya kumbukumbu na matukio ambayo ubongo wako huwa unayarekodi ukiwa macho, sasa iko hivi kwa sababu mtu aliyezaliwa kipofu hajawahi kabisa kuona rangi yoyote , yani hajawahi kuona sura ya mtu, wala hajawahi kuona umbo lolote ubongo wake hautokuwa na visual data yoyote iliyohifadhiwa kule kwenye visual cortex.Mimi naajiuliza tu hivi vipofu wa kuzaliwa wakiota wanaota audio pekee au inakuaje?
Asante na mimi nimepata chochote kituMkuu kwanza inabidi uelewe kuwa ndoto ni tafsiri ya kumbukumbu na matukio ambayo ubongo wako huwa unayarekodi ukiwa macho, sasa iko hivi kwa sababu mtu aliyezaliwa kipofu hajawahi kabisa kuona rangi yoyote , yani hajawahi kuona sura ya mtu, wala hajawahi kuona umbo lolote ubongo wake hautokuwa na visual data yoyote iliyohifadhiwa kule kwenye visual cortex.
Kwahiyo yeye anapolala usiku na kuanza kuota, ubongo wake unachofanya ni kutengeneza ndoto kwa kutumia yale mambo ambayo ameyazoea kwenye maisha yake ya kila siku, ambayo ni sauti, harufu, ladha, na miguso.
Ukiongea na mtu aliyezaliwa kipofu atakwambia kuwa akiota ndoto labda yuko ufukweni mwa bahari, yeye huwa haoni yale maji wala mchanga bali kwenye ndoto yeye huwa anasikia kwa sauti tu yale mawimbi ya maji, upepo ukimpuliza, na kuhisi joto la jua tu, na kama huwa anaota anaongea na mtu maana yake huwa anasikia sauti ya huyo mtu kwa usahihi kabisa na anaweza kuhisi kama amemshika mkono au wamekumbatiana, lakini anakuwa haoni sura yake wala nguo alizovaa kwa sababu kwake yeye sura sio kitu kilichopo kwenye ulimwengu wake.
Maajabu ni kwamba, tafiti za kisayansi zilizofanywa kwa kuwapima vipofu wa kuzaliwa wakiwa wamelala huwa zinaonyesha kuwa hata wao huwa wanapata ile hali ya macho kucheza cheza wakiwa wanaota, kitaalamu inaitwa REM sleep, lakini wakiamka wanakuambia hawakuona picha yoyote bali walikuwa wanapata hisia kali sana za sauti na miguso tu.
Lakini hali huwa ni tofauti kabisa kwa mtu aliyewahi kuona mwanzo halafu akaja kuwa kipofu ukubwani kutokana na ajali au ugonjwa, kwa sababu yeye ubongo wake unakuwa ulisharekodi picha zamani, hivyo anaweza kuendelea kuota kama anaona picha kabisa kwa miaka mingi hata baada ya kuwa kipofu kwa sababu hizo picha bado zimo kwenye faili la ubongo wake.
Shikamoo
Karibu ndani ya mada😊
Ukifumba macho ubongo wako hautengenezi picha yangu kwenye akili yako kupitia maandishi yanguMarahaba binti. Kuhusu mada, mimi sina ninalo liona nikifumba macho.
Ukifumba macho ubongo wako hautengenezi picha yangu kwenye akili yako kupitia maandishi yangu
Nimelia mpka kwikwi
I hate youu🤣🤣🤣Kupitia haya maandishi? Hautengenezi.
I hate youu🤣🤣🤣
Ngoja nione nikikuchukia jinsi kijiba cha roho kinanichoma🤣🤣Chuki humuumiza anaeitunza! Mimi ubongo wangu hautengenezi lolote.
Ngoja nione nikikuchukia jinsi kijiba cha roho kinanichoma🤣🤣
Kitaalamu hiyo hali ya kufunga macho na kuona kiuno changu kikiwa na shanga huitwa Stroke ya ubongoNikifunga macho huwa naona kiuno Chako kikiwa na shanga.
Basi nimebadili mawazo ilove uUkimchukia mtu unakua umejipa adhabu bila sababu yeyote! Kwa nini ujipe adhabu ya kuumia na chuki! 😊
Ni kwakuwa huna kiuno au huna shanga.Kitaalamu hiyo hali ya kufunga macho na kuona kiuno changu kikiwa na shanga huitwa Stroke ya ubongo
Leo hakuna jumuia lakini si ndiyoBikira Maria mpalizwa mbinguni
Nilikua lindo na mengine uliyosema hapo yanawekena pia ni sababuVipi ulikuwa lindo macho yanasumbua yakitaka kukupangia cha kufanya au ni kuhusu kuona ukiwa umefumba macho ili uone kama yanaona kisichoonekana ukiwa huoni ili uonekaniwe? Kama ni lindo na unasumbuka na usingz nambie kwa kuniquote i will advise you.
Umekunywa chaiNi kwakuwa huna kiuno au huna shanga.
Leo hakuna juumuiya nimetoka morning mass, sasa nakunywa uji wa ulezi maisha ya seminary matamu kishenziLeo hakuna jumuia lakini si ndiyo