Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

Moderator hivi hiyo Title mlivyo edit umeona uli cho edit kweli?

Kwanza Title yangu ilikua na shida gani hata ika editiwa halafu kwa kukosea ?
 
Vitu vyote kwenye mwili wako utendaji kazi wake lazima viungane na ubongo... sio kope sio kisim sio kisigino(vyote)...

Kwahyo tunaweza kuona mubashara au kupitia uzoefu/kumbukumbu ya ubongo...
Kumbuka kuona pia kunaathiriwa na kunusa, kugusa, kusikia, kuonja, na hisia.... Sisi tulio rohoni tunaona pia.
 
Kuona kuna athiriwa vipi na kunusa kusikia au kuonja?

Nyie wa rohoni mnaona mambo kwa mtindo gani wakati wa maombi au kwenye ndoto?
 
Kuna hali fulani huwa inanitokeaga kuna wakati napokuwa kitandani napofumba macho kulala lakini nikiwa sijapata usingizi nikawa kama nimejisahau siwazi chochote,kuna taswira kama inakuja halafu inapotea taratibu taratibu
 
Taswira gani mkuu
 
Kuona kuna athiriwa vipi na kunusa kusikia au kuonja?

Nyie wa rohoni mnaona mambo kwa mtindo gani wakati wa maombi au kwenye ndoto?
Ubongo unaambatanisha pamoja tukio la kuona na sauti(kusikia), harufu, kugusa, na kuonja..

Kiroho kupitia maono,ndoto nk, japo ndoto inaathiriwa sana na vitu unavoviju/ulivowai kuviona au kuvisikia..
 
Ahaaa sawa
Vp mtu yeyote anaweza kua wa rohoni?
 
Back
Top Bottom