ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Kwamba shida sizitaki? Acha basi dogo....huyo ni mjukuu wangu...hana shida na mimi wala!!Nilikwambia mzee wangu mazoea na gen z yatakuletea shida
Kwamba shida sizitaki? Acha basi dogo....huyo ni mjukuu wangu...hana shida na mimi wala!!Nilikwambia mzee wangu mazoea na gen z yatakuletea shida
Toka mzee ujue nilikuwa na ID nyingi umekuwa ukinichapa za usoo sana dah, kweli tereza kidogo uoneKwamba shida sizitaki? Acha basi dogo....huyo ni mjukuu wangu...hana shida na mimi wala!!
Yani usngizi nikama njia moja wapo ya kumsaidia mtu kuwa kiroho kwa maana unapolala roho inakua aina kizuizi(mwili).Sijalidhika baado mkuu ungejazia nyama
Sipendi kudili na watu wa hovyo, japo hata mimi wa hovyo.Toka mzee ujue nilikuwa na ID nyingi umekuwa ukinichapa za usoo sana dah, kweli tereza kidogo uone
Sasa kwanini hudeal nao wakati na wewe unafanya the same business!Sipendi kudili na watu wa hovyo, japo hata mimi wa hovyo.
Nipe mwongozo wa kusoma hiyooThis is a very important question.
Ukifumba macho what happens next?
Unafumba,unatazama unaona different shades of brightness.
Halafu the mind screen becomes dark.
Completely dark.
But if you continue to focus on that darkness, mwangaza unaanza kurudi tena.
Process inakuwa kama hivi whether you are going into deep sleep,or whether you are going to dreamAu wakati wa kufa, process ni kama hivi.
Au kama unafanya astral traveling.
You can read about it in Six Yogas of Naropa.
U hovyo wangu haujafikia level zako😅😅Sasa kwanini hudeal nao wakati na wewe unafanya the same business!
OK am on it.Six Yogas of Naropa pdf
Sasa kwanini Unashindwa kudeal na wa kwangu?U hovyo wangu haujafikia level zako😅😅
It's beyond repair!! Damaged kabisa...Sasa kwanini Unashindwa kudeal na wa kwangu?
Hahaha mkuu umeamua kuniongezea trauma for a lifetime...It's beyond repair!! Damaged kabisa...
Kubadilika ni process, ban ya wiki mbili haitoshi kubadilisha attitude yako, unahitaji muda.Hahaha mkuu umeamua kuniongezea trauma for a lifetime...
Nilisha badilika mzee wangu
You are right ila hata ile tabia yangu before ban ilikuwa ni stage ya mabadiliko, the ban was just a side effect. Na baada ya ban everything made sense.Kubadilika ni process, ban ya wiki mbili haitoshi kubadilisha attitude yako, unahitaji muda.
Good for you mkuu, endelea kuwa unavyotamani uwe!!You are right ila hata ile tabia yangu before ban ilikuwa ni stage ya mabadiliko, the ban was just a side effect. Na baada ya ban everything made sense.
👍Good for you mkuu, endelea kuwa unavyotamani uwe!!
Naota ndoto hazina rangi naamka nazifata.Ukifumba macho bado "huoni" kwa macho, bali ubongo unaendelea kuchakata taarifa. Hizo rangi, miale na maumbo ni shughuli za mfumo wa kuona kwenye ubongo, huku kutambua kabati au jiko ni kumbukumbu na mazoea ya mazingira. Kwa kifupi, macho hufungwa lakini ubongo hauzimiki. 😊