ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #181
Uwiii wewe ni babu 😅😅 ni me mix by yasTangu lini nikawa mjukuu wako!
Uwiii wewe ni babu 😅😅 ni me mix by yasTangu lini nikawa mjukuu wako!
Ooh asante kwa maoni memberMacho ndio yanaona na si mapicha picha kutoka ubongo
....ili kujua hilo washa taa kwa macho yako au kwenye chumba kilichokuwa giza kiujumla
....kipofu hata hilo giza halioni ni kama kujaribu kuona giza kwa kutumia kichogo. Ni kwamba hamna kabisa unachokiona
Love u 😍 babuKwamba shida sizitaki? Acha basi dogo....huyo ni mjukuu wangu...hana shida na mimi wala!!
Asante sana mkuu🙏Yani usngizi nikama njia moja wapo ya kumsaidia mtu kuwa kiroho kwa maana unapolala roho inakua aina kizuizi(mwili).
kwahyo wakati wa usingizi roho inaweza kupata mawasiliano na roho nyingine(kubwa, ndogo, safi, chafu)
Kumbe ki vip kutoka ngozi mpka rangi rangiUnaona ngozi iliyojuu ya jicho lako ndiyo hizo rangi rangi
Nini kinakuchanganya mjukuu!!Uwiii wewe ni babu 😅😅 ni me mix by yas
Nitakuambia lovely babuNini kinakuchanganya mjukuu!!
Ni wa tag watu wanaonifahamu physical wakuambie kua mimi ke ?
I'm so proud kua na hii gender sina haja ya kuikana kabisa
Mimi ni mwanamke mrembo na mwenye akili kwa kiasi changu
Sijui kwanini baadhi ya jamaii inaamini dhana potofu kua wanawake hatuwezi kujenga hoja kufikiri kwa kina
Sisi wanawake ni binadamu wenye utashi kama mlivyo nyie
Tumetofautia kidogo kwenye maumbile ila mengine yote tunashabihiana
So kama wewe ni mwanaume na unataka mke mwenye akili kama yangu karibu tuyajenge nimechoka kua single
Hii ya lovely babu hii, unataka kusemaje kwani!!Nitakuambia lovely babu
Soreee😢Hii ya lovely babu hii, unataka kusemaje kwani!!
Mjukuu leo umechangamka sana😅😅😅Soreee😢
Mada nzuri, ungeweka jamii intelligence,Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona?
Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona?
Unaona nini ukifumba macho yako?
Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi?
Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ?
Unadhani ni halisi ?
Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa chako?
Mimi nikifumba macho kwa nguvu huwa naona vitu kama rangi rangi
Naweza kuona vitu kama miale kama hilo eneo lina mwanga mkali
Sasa hizo rangi rangi miale
Ni kwamba mtu anaona kweli au ni ubongo unatengeneze picha kwenye akili ?
Lakini pia wakati mwingine ukifumba macho unahisi kama bado unaona
Mfano, unaweza kufumba macho lakini uk01atembea ndani na unaweza kujua kama hapa kuna kabati, jiko, au vitu vingine na huvigongi
Sasa hapo unaona au ubongo wako unatumia kumbukumbu ulizozihifadhi?
Je, hii inamaanisha huwa tunaona kwa macho pekee, au kuna namna ubongo wetu unatengeneza picha hata bila kuona?
Usiku 01:01 kama hujalala njoo tupige story hapa
ShesRise_1 ✋️
Jamani dah🤣🤣Mjukuu leo umechangamka sana😅😅😅
Asante dodho uzi ni mzuri ndio ila jukwaa la intelligence hua naliona je sijui ila mada zingine za aina hii nitaweka kuleMada nzuri, ungeweka jamii intelligence,
ubongo huwa una predict matukio hata tunapo kuwa macho tunachoona sio chote cha ukweli maana unapokwapua jicho muda huo vission huwa inakuwa blur sana kiasi kwamba inakuwa haina faida hivyo ubongo unafanya kitu kinaitwa (sacadic masking) inafuta ile blur na ku replace vission kwa kufanya prediction kuangalia nini kilipita na nahisi hiki ndio kitafuata
yeah¡ ila naunga unga tu!Dogo na wewe una meditate siku hizi?
Ndiyo. Kumbuka ubongo ni ile grey matter (Kitu kama tope ndani ya fuvu lakichwa cha kiumbe) Ni mkusanyiko wa nerves nyingi sana. Mojawapo ya kazi za nerves ni coordination ya mwili mzima - mtu aitwe yupo hai/active. Kwa mantiki hiyo, kama ubongo ukisizi manake hakuna kitakachofanyika kwa mustakabali wa mwili huo kuwa hai kwa sababu hakuna kinachoendelea. Moyo hautafanya kazi yake kama inavyotakiwa, hakuna upumuaji utakaoendelea, n.k.n.k. na yote hayo ni kwa sababu Mratibu amesimama/hafanyi tena kazi yake inayotakiwa i.e. Central Nervous System(coordination system) ime-collapse totally.Hivi ubongo usipofanya kazi mtu ndio bye bye?
Yeah. Hii ni Topic nzuri ya mjadala.Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona?
Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona?
Unaona nini ukifumba macho yako?
Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi?
Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ?
Unadhani ni halisi ?
Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa chako?
Mimi nikifumba macho kwa nguvu huwa naona vitu kama rangi rangi
Naweza kuona vitu kama miale kama hilo eneo lina mwanga mkali
Sasa hizo rangi rangi miale
Ni kwamba mtu anaona kweli au ni ubongo unatengeneze picha kwenye akili ?
Lakini pia wakati mwingine ukifumba macho unahisi kama bado unaona
Mfano, unaweza kufumba macho lakini uk01atembea ndani na unaweza kujua kama hapa kuna kabati, jiko, au vitu vingine na huvigongi
Sasa hapo unaona au ubongo wako unatumia kumbukumbu ulizozihifadhi?
Je, hii inamaanisha huwa tunaona kwa macho pekee, au kuna namna ubongo wetu unatengeneza picha hata bila kuona?
Usiku 01:01 kama hujalala njoo tupige story hapa
ShesRise_1 ✋️
Asante sana ubongo ni kitu muhimu mnoo ndio maana ukisikia mtu damu imevilia kwenye ubongo ndio baasi anaondokaNdiyo. Kumbuka ubongo ni ile grey matter (Kitu kama tope ndani ya fuvu lakichwa cha kiumbe) Ni mkusanyiko wa nerves nyingi sana. Mojawapo ya kazi za nerves ni coordination ya mwili mzima - mtu aitwe yupo hai/active. Kwa mantiki hiyo, kama ubongo ukisizi manake hakuna kitakachofanyika kwa mustakabali wa mwili huo kuwa hai kwa sababu hakuna kinachoendelea. Moyo hautafanya kazi yake kama inavyotakiwa, hakuna upumuaji utakaoendelea, n.k.n.k. na yote hayo ni kwa sababu Mratibu amesimama/hafanyi tena kazi yake inayotakiwa i.e. Central Nervous System(coordination system) ime-collapse totally.
Karibu mkuu tu share pamojaYeah. Hii ni Topic nzuri ya mjadala.
Ubongo bado huendelea kuchakata yale uliyokuwa unaona kabla ya kufumba macho.Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona?
Inategemea mazingira uliyopo. Kwa mfano kama ni mchana na kunamwanga utaona mwanga hafifu au kama ulikuwa unauelekeo wa miali ya jua basi utaona wekundu fulani ambao kiukweli ni rangi ya damu yako inayopita kwenye blood vessels za jichoni. Kama ni gizani hutaona chochote bali ubongo itaendelea kutoa tafsiri ya unachofikiria au ulichokuwa unatizama kabla ya kufumba macho.Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona?
Unaona nini ukifumba macho yako?
Macho yapo kazini lakini hakuna kinacchoingia kwenda kwenye ubongo kwa kupitia macho yako.Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi?