Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Ooh 👌 yaani my 20's have passed like a shadow... Kama ile novel ya sekondariMimi bado ngazi chache pia naingia huko floor ya 3
Ooh 👌 yaani my 20's have passed like a shadow... Kama ile novel ya sekondariMimi bado ngazi chache pia naingia huko floor ya 3
Ndio, nilikuwa naoga nikasikia simu inaita Ndo nikawa naiwah kabla mke wangu hajaishikaHuyo kwenye Dp ni wewe ?
Ningeshangaa kama usingejipakulia minyamaHakika maana kwa nje ni dogo ila ndani Nimeishi kila aina ya maisha, naonaga kila kitu ni marudioo(Omg mpka tumetoka nje ya mada!)
😅😅😅Ooh 👌 yaani my 20's have passed like a shadow... Kama ile novel ya sekondari
ChaiNdio, nilikuwa naoga nikasikia simu inaita Ndo nikawa naiwah kabla mke wangu hajaishika
Ni jicho gani hiloNaona... Kutumia jicho la 3
lipo kwenye paji la uso, tunalijua tu mameditationists...Ni jicho gani hilo
Dah ni ngumu sana kuieleza unaweza tu kuona upande wa nyumba,au kama mtu lakini sio kama unavyomuona mtu kawaida taswira inakuwa sekunda moja tu hivi,au saa nyingine unasikia sauti kama imesema neno moja na hiyo sauti inaonekana kama inasikika kutoka ndani yangu na sio nje ya kuisikia na masikioTaswira gani mkuu
Yeyote tu anaweza kikubwa awe ni mtu...Ahaaa sawa
Vp mtu yeyote anaweza kua wa rohoni?
Sawa😅lipo kwenye paji la uso, tunalijua tu mameditationists...
Ukiwa na maana ipi? 😂Ningeshangaa kama usingejipakulia minyama
Niamini mm mamaa, wengine matapeliChai
umewaza nin mpaka kufikiri hivyo?Hivi kipofu anajuaje ameamka kutoka usingizini
Dogo na wewe una meditate siku hizi?lipo kwenye paji la uso, tunalijua tu mameditationists...
Sijalidhika baado mkuu ungejazia nyamaYeyote tu anaweza kikubwa awe ni mtu...
Wakati mtu anapokua usingizini, roho yake inakua active kwa % kubwa kwakua mwili umepumzika wakati huo...
Asante kwa maoni mjukuuMacho ni lense tu! Nadhani wote tunajua kazi ya lense, ubongo ndio control box, takwimu zote zinawekwa hapo.
Tangu lini nikawa mjukuu wako!Asante kwa maoni mjukuu
Nilikwambia mzee wangu mazoea na gen z yatakuletea shidaTangu lini nikawa mjukuu wako!