ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #101
Ndiyo umeamua kua padreLeo hakuna juumuiya nimetoka morning mass, sasa nakunywa uji wa ulezi maisha ya seminary matamu kishenzi
Baba Mtakatifu akupe mwongozo
Ndiyo umeamua kua padreLeo hakuna juumuiya nimetoka morning mass, sasa nakunywa uji wa ulezi maisha ya seminary matamu kishenzi
Ok. Sawa.I'd be interested to learn more
Bila shaka! 🙌🏻Unajua umri ya binti kiziwi ?
Mtu yupo above 50 Cc: binti kiziwi
ulikuwa lindo usiku na hadi mda huu hujalala. Ok ujaribu kuwa na maji mengi ya kunywa mda wa kazi na sio kahawa na pia mchana jaribu kulala. Jioni ikifika saa nne usiku kunywa maji kwa wing yatakusaidia sana coz yatakuhitaji kila mda kwenda haja ndogoNilikua lindo na mengine uliyosema hapo yanawekena pia ni sababu
50-45.
Ni wa tag watu wanaonifahamu physical wakuambie kua mimi ke ?ShesRise_1 mada zako unazoandika na hi id yako ni kama ya kiume twambie vizuri
Fire 🔥Bila shaka! 🙌🏻
Nakusubiri ukiwa tayari tuendeleeOk. Sawa.
Nimechukua ushauri wako asante kwa kujaliulikuwa lindo usiku na hadi mda huu hujalala. Ok ujaribu kuwa na maji mengi ya kunywa mda wa kazi na sio kahawa na pia mchana jaribu kulala. Jioni ikifika saa nne usiku kunywa maji kwa wing yatakusaidia sana coz yatakuhitaji kila mda kwenda haja ndogo
Hakuna hata picha uliyotengeneza kicwani mahi😁Nimejaribu kufumba nimeona Giza 😜
Mwanamke Jasiri 😘Ni wa tag watu wanaonifahamu physical wakuambie kua mimi ke ?
I'm so proud kua na hii gender sina haja ya kuikana kabisa
Mimi ni mwanamke mrembo na mwenye akili kwa kiasi changu
Sijui kwanini baadhi ya jamaii inaamini dhana potofu kua wanawake hatuwezi kujenga hoja kufikiri kwa kina
Sisi wanawake ni binadamu wenye utashi kama mlivyo nyie
Tumetofautia kidogo kwenye maumbile ila mengine yote tunashabihiana
So kama wewe ni mwanaume na unataka mke mwenye akili kama yangu karibu tuyajenge nimechoka kua single 😊😊
Itakua umekosea kidogo kuandika sijaelewaHabuoni
Hakuna 😅😅😅Hakuna hata picha uliyotengeneza kicwani mahi😁
Mimi na wewe ne wengineo humu ni wanawake na nusu Cc : my lovely sister binti kiziwiMwanamke Jasiri 😘
Sasa wine nayo si ni picha mpenz 😁😁Hakuna 😅😅😅
Zaidi yanaweza kuja mawine wine tu 😜
Ntatumia zakoHuna akili 😁
Zangu zinanitosha mwenyeweNtatumia zako