Diwani wa Kata ya Buguruni na Mjumbe wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Zahoro Muhaji, amesema kero ya uchafu na uondoaji wa takataka imekuwa changamoto kubwa inayowakosesha usingizi madiwani wengi jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na M & S Podcast Septemba 30, 2026, Muhaji ameeleza kuwa ingawa Mheshimiwa Rais alitoa msukumo zaidi, halmashauri hiyo ilishaanza kuchukua hatua za muda mrefu za kutatua changamoto hiyo kabla ya kauli hiyo.
Aongeza kuwa Halmashauri ya Jiji ipo kwenye hatua za mwisho za majadiliano na kampuni binafsi ili kuingia mkataba wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) utakaoboresha mfumo wa usafi jiji la Dar es Salaam.