Macho yangu kisiasa na kisheria kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission ,

tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia hivyo atachiwa huru ,
Kama mahakama itamkuta lisu na hatia na hivyo kumhukumu kunyongwa Kwa maneno aliyoongea jukwani, nini kitafuata? , Maswali ninayojiuliza 1 je CHADEMA watabaki na msimamo wao wa kutoshiriki mazungumzo yoyote na serikali 2. Je chadema watakubal kuzungumza Ili kumuokoa mwenyekiti wao na zahama ya kusota jela

Ni nini kitatokea iwapo CHADEMA wamegoma na wamebaki na huo msimamo walionano Sasa wa kutoshirikiana na serikali ya CCM, majibu ni simple Tu nchi hii itakuwa tayari imengia matatani na kwenye mkwamo mkubwa Sana ( you can't underestimate position ya CHADEMA, Kwa Sasa chadema ndicho kinaweza kutugawa watanzania nusu Kwa nusu kama zilivyo dini za uslamu na ukristo ama timu za Mpira za simba na yanga.

na kama hukumu ikawa ni lisu Hana hatia hivyo atachiwa na akirudi mtaani atakuwa strong than ever , kwenye siasa za nchii hii atakuwa ni monster, faida itakuwa Kwa chadema hawataenda kwenye meza ya mazungumzo kinyonge Tena watakuwa na hoja na hoja zao zitakuwa na nguvu.
Kwa upande wa Sheria hukumu inayosema lisu ni mhaini itakuwa imetengeneza precedent ya hovyo Sana itakapotumika Kwa siku zijazo , judge ndunguru na wenzake wataonekana kwenye record kama watu wa hovyo Sana. Toka Kwenye committal Hadi tulipofika huoni relevant authorities that you can site .
Kuhusu taluuma ya Sheria ,inaleta maswali Sana kuhusu mawakli na majukumu yao. Je wakili na mwanasheria anajukumu gani kama afisa wa mahakama ?je ni kuisadia mahakama ifikie kufanya mamuzi sahihi au kazi ya wakili ni kuiongoza mahakama kufanya mamuzi Ili TU kulinda maslahi ya mteja wake ? Je unapokuwa wakili au mwanasheria wa serikali unabaki na jukumu la kulinda taaluma ama Hilo jukumu linakoma,. Najiuliza katuga na timu yake imekuwaje kweli wanakumbuka kuhusu nafasi yao ya kuitetea taluuma sheria

Kwa kizazi chetu, hukumu ya lisu itaweka kizazi chetu katika vizazi vya hovyo zaidi kutokea Tanzania, itakuwa ngumu kuwahukumu watanzazania wa zama za utumwa na ukoloni na sisi, eti mfumo mzima wa utawala na vyombo vyote vya dola vipo Kwa akili ya kulinda na kuwatetea wachache zidi ya waliowengi, swali la vizazi vijavyo watakuwa wanajiuliza Ilikuwaje wengi walishindwa na walifanywa chochote na wachache , the same sisi tunajiuliza Ilikuwaje enzi za ukoloni na utumwa weusi waliokuwa wengi walishindwaje kunganika na kupambana na mkoloni ,

Kiufupi hii ni kesi ya kisiasa, siasa inahitajika ijibiwe kisiasa, bahati mbayA Sana wanasiasa wenye mamlaka wameshindwa kufanya siasa na mbayA zaidi wanatumia dola na vyombo vyake kufanya siasa ,matokeo yake ni kesi za ajabu kama hizi ambazo hazikutakiwa kuwepo, sijaona ushahidi wa serikali kuwa lisu alifanya uhain
 
Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission ,

tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia hivyo atachiwa huru ,
Kama mahakama itamkuta lisu na hatia na hivyo kumhukumu kunyongwa Kwa maneno aliyoongea jukwani, nini kitafuata? , Maswali ninayojiuliza 1 je CHADEMA watabaki na msimamo wao wa kutoshiriki mazungumzo yoyote na serikali 2. Je chadema watakubal kuzungumza Ili kumuokoa mwenyekiti wao na zahama ya kusota jela

Ni nini kitatokea iwapo CHADEMA wamegoma na wamebaki na huo msimamo walionano Sasa wa kutoshirikiana na serikali ya CCM, majibu ni simple Tu nchi hii itakuwa tayari imengia matatani na kwenye mkwamo mkubwa Sana ( you can't underestimate position ya CHADEMA, Kwa Sasa chadema ndicho kinaweza kutugawa watanzania nusu Kwa nusu kama zilivyo dini za uslamu na ukristo ama timu za Mpira za simba na yanga.

na kama hukumu ikawa ni lisu Hana hatia hivyo atachiwa na akirudi mtaani atakuwa strong than ever , kwenye siasa za nchii hii atakuwa ni monster, faida itakuwa Kwa chadema hawataenda kwenye meza ya mazungumzo kinyonge Tena watakuwa na hoja na hoja zao zitakuwa na nguvu.
Kwa upande wa Sheria hukumu inayosema lisu ni mhaini itakuwa imetengeneza precedent ya hovyo Sana itakapotumika Kwa siku zijazo , judge ndunguru na wenzake wataonekana kwenye record kama watu wa hovyo Sana. ,

Uhaini haupo pale.
 
Hii kesi ni kama ule msemo wa utani wa kimakonde, kwamba;

UKISIMAMA, nchale..
UKIKAA, nchale...
UKICHUCHUMAA, nchale...
UKIKIMBIA, nchale..
UKITEMBEA, nchale...

HII IKIWA NA MAANA GANI?
Ni kwamba, kila watakaloliamua kuhusu huyu mwamba iwe ni kumwachia, kumfunga au hata kumuua ni disaster kwao..

Wametengeneza tatizo ambalo sasa inashindikana kuli - contain..

But, as it stands now, na vyovyote iwavyo, THEY MUST SWALLOW THEIR EGOs & PRIDE...

And, ALL in ALL ni kuwa, tulisema na tunasema tena kuwa, hakuna kesi hapo, TUNDU LISSU SI MHAINI WALA MVUNJA SHERIA AU KATIBA!!

#FreeTunduLissuNow!!
 
Vyovyote hukumu itakavyokuwa kesi hii imeingia katila historia ya sheria kuwa michakato ya kimahakama inaweza kuchezewa kadri watawala wanavyojisikia.

Kwamba mahakama inayoa hati ya shahidi kufika mahakamani lakini shahidi anaishia kutoa ujumbe nje ya mahakama. Mahakama ni nini? Huyo shahidi alifika mahakamani?

Kwamba mshitakiwa ndiye anaijulisha mahakamana kuwa shahidi amekataa kutoa ushahidi na mahakama yenye majaji watatu inaridhika na maelezo hayo, bila kumwona shahidi!.

Vipi maneno ya mshitakiwa yaaminiwe hivi kwa wakati huu lakini tangu awali amekuwa akikanusha mashitaka dhidi yakwna bado mmeebdelea kumshikilia?

Kwamba, kuna fair trial? Ilihali shahidi amekataliwa kuonana na mawakili wake huku mahahidi anaotaka waje kutoa maelezo wakigoma au kuzuiwa kufika, haki iko wapi?
 
Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission ,

tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia hivyo atachiwa huru ,
Kama mahakama itamkuta lisu na hatia na hivyo kumhukumu kunyongwa Kwa maneno aliyoongea jukwani, nini kitafuata? , Maswali ninayojiuliza 1 je CHADEMA watabaki na msimamo wao wa kutoshiriki mazungumzo yoyote na serikali 2. Je chadema watakubal kuzungumza Ili kumuokoa mwenyekiti wao na zahama ya kusota jela

Ni nini kitatokea iwapo CHADEMA wamegoma na wamebaki na huo msimamo walionano Sasa wa kutoshirikiana na serikali ya CCM, majibu ni simple Tu nchi hii itakuwa tayari imengia matatani na kwenye mkwamo mkubwa Sana ( you can't underestimate position ya CHADEMA, Kwa Sasa chadema ndicho kinaweza kutugawa watanzania nusu Kwa nusu kama zilivyo dini za uslamu na ukristo ama timu za Mpira za simba na yanga.

na kama hukumu ikawa ni lisu Hana hatia hivyo atachiwa na akirudi mtaani atakuwa strong than ever , kwenye siasa za nchii hii atakuwa ni monster, faida itakuwa Kwa chadema hawataenda kwenye meza ya mazungumzo kinyonge Tena watakuwa na hoja na hoja zao zitakuwa na nguvu.
Kwa upande wa Sheria hukumu inayosema lisu ni mhaini itakuwa imetengeneza precedent ya hovyo Sana itakapotumika Kwa siku zijazo , judge ndunguru na wenzake wataonekana kwenye record kama watu wa hovyo Sana. ,

Kwa kizazi chetu, hukumu ya lisu itaweka kizazi chetu katika vizazi vya hovyo zaidi kutokea Tanzania, itakuwa ngumu kuwahukumu watanzazania wa zama za utumwa na ukoloni na sisi, eti mfumo mzima wa utawala na vyombo vyote vya dola vipo Kwa akili ya kulinda na kuwatetea wachache zidi ya waliowengi, swali la vizazi vijavyo watakuwa wanajiuliza Ilikuwaje wengi walishindwa na walifanywa chochote na wachache , the same sisi tunajiuliza Ilikuwaje enzi za ukoloni na utumwa weusi waliokuwa wengi walishindwaje kunganika na kupambana na mkoloni ,

Kiufupi hii ni kesi ya kisiasa, siasa inahitajika ijibiwe kisiasa, bahati mbayA Sana wanasiasa wenye mamlaka wameshindwa kufanya siasa na mbayA zaidi wanatumia dola na vyombo vyake kufanya siasa ,matokeo yake ni kesi za ajabu kama hizi ambazo hazikutakiwa kuwepo, sijaona ushahidi wa serikali kuwa lisu alifanya uhain

Huja soma tu mchezo,
wanataka lisu ahukumiwe ili asigombere nafasi yeyote. Atahukumiwa atakaa kama mwezi HIVI rais atatangaza msamaha
 
Hukumu ilishaandikwa muda mrefu, Lisu atakutwa na hatia. Mama atapata pakutokea kujifanya anatoa msamaha siku ya uhuru wa Tanganyika. (9 December)
 
Lissu hatautambua huo msamaha maana immediately atakata rufaa ili mahakama itoe hukumu huo msamaha utakuwa wakwake na genge lake.
 
Mimi ninatoa msimamo wangu mapema. Niko upande wa Tanganyika huru isiyo na muungano wa kinyonyaji na Zanzibar! Lakini pia niko upande wa HAKI inayopiganiwa na CHADEMA + Tundu Lissu.

Mafisadi na wahuni mtanisamehe. Kamwe siwezi kuwa upande wenu.
 
Huja soma tu mchezo,
wanataka lisu ahukumiwe ili asigombere nafasi yeyote. Atahukumiwa atakaa kama mwezi HIVI rais atatangaza msamaha
Watajisumbua.
Lissu atamfanyia kampeni atakaye wakilisha chama chake.
Hapo Lissu akisema lichagueni jiwe au chochote tutamsikiliza tutafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom