Habarini,
Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha.
Nilipita pita mtandaoni nikakutana na hii post, comments nlizoziona za hawa kina leo dada binti kiziwi Joanah zinavunja moyo kwa kweli.
Kwa comments hizi kweli mwanaume lazma uogope hata kujitoa👇🏾
Bado sijaweka post ingine ya kingereza, wanawake walivokuwa wanafunguka kuhusu hao wanaume wanaowahudumia. It's horrifying na unakuta mwanaume moyoni una amani na unajisifu mbele za watu kua una mke na life partner 🥹 kumbe mkeo/girlfriend ni moja ya wadada wanaokuwazia hivyo..