Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

Kitu ambacho hamjui ni kuwa wanawake ni selfish by nature.

Mwanamme akipata hela atatamani aoe hata wanawake sita awatunze.
Mwanamke akipata hela atataka ajitegemee bila mwanamme.
Wanajiita independent women mwanamke wa shoka nk.

Kwahyo kwa manufaa mapana ya jamii wanawake hawatakiwi kuwa sawa na wanaume, hiyo ndo nature.

Lakini hili bomu la ufeminismitakuja kulipuka pale wanawake wengi hawataki wanaume watataka standards ambazo wanaume wachache sana watazifikia. Apo ndo population ya jamii itaporomoka kwa kasi.
 
Moyo wa mtu ni kichaka kilichojaa siri nyingi nzuri na mbaya, just imagine unajitoa kwa moyo wote unamuhudumia kwa upendo mkubwa kumbe moyoni mtu anakuwazia mabaya na anakuona kama takataka...

Mapenzi ni matamu ukimpata akupendae ila ni mwiba na sumu ukimpata mpenzi maslahi, mapenzi pesa

Mahusiano yanaweza kuwa paradiso yako au jehanamu yako ukiwa bado hapahapa duniani

Mungu atunusuru
 
We acha tu inaumiza sana, hasa kama mwanaume unamhudumia mdada kwa nia nzuri.. maana Kuna wanaume wengine wanahudumia ila hawana nia nzuri Andromeda Galaxy
 
Nina dogo mmoja hapa. Alikuwa na pisi yake hivi kutoka familia ya kishua shua hivi. Walikutana kwenye kozi fulani hivi ya mwaka mmoja. Hakuwa na malengo nayo wala nini isipokuwa tu kuchovya na kusonga mbele kama injili.

Miezi mitatu akajitokeza jamaa hivi anazo. Ndinga kali na madoido kibao. Mahari tu akamwaga milioni 15 cash. Binti akaolewa. Akafunguliwa na mduka mkubwa wa vipodozi jumla ili asikae tu nyumbani. Jamaa karudi kwenye mishe zake Dubai; na huwa anakuja kwa mwezi angalau mara moja au mbili.

Sasa binti anahaha kishenzi. Anasema hana hisia na huyu mumewe hata tone. Eti hata akilala naye anajikaza lakini kimsingi ni kama anabakwa tu kihisia. Wiki jana kaja Dar kupokea mizigo kutoka China. Siku 4 wana huyu dogo wamejifungia lodge dogo anapeleka moto. Binti anamlazimisha dogo ampige angalau mimba maana kuzaa na huyo mumewe wa Dubai anasema itakuwa disaster.

Dogo kaniomba ushauri nikamchana kuwa kwa vile binti ameolewa basi aachane naye mazima. Dogo akasema binti hataki katakata na amesema atakuwa anakuja Dar japo kwa mwezi mara mbili mpaka atakapopata mimba. Dogo anapewa hela kweli kweli. Yaani kutumiwa milioni 1+ ya kutumia siyo ishu. Eti oooh leo unataka ule nini mume wangu? Chukua hii laki moja ule kitimoto leo.

Mwanamke ni kiumbe wa hisia aisee na kama hana hisia na wewe hata uwe na hela kumzidi Elon Musk ni kazi bure. Hata umpe dunia nzima kama hakupendi anaweza akaishi na wewe lakini hisia zake ziko kwingine. Na hapo ni lazima ujiandae kulea watoto ambao sio wako!
 
Quote: The Art of psychological warfare

Deception is the process of hiding information from the victim in order to reach their overall goals.

For instance, camouflage is a part of deception. In camouflage, we learn to hide our inner self and give out the appearance that we are different from what we actually are.

* Another form of deception is to appear friendly on the outside and promote some other hidden agenda on the inside.
 
Yaani kutumiwa milioni 1+ ya kutumia siyo ishu. Eti oooh leo unataka ule nini mume wangu? Chukua hii laki moja ule kitimoto leo.
Ni wanaume wangapi Wana bahati ya kukutana na wanawake wa hivi, reality ni kwamba wanaume wengi wataangukia kwa wadada ambao ni chumaulete

Ukimchunguza vizuri uyo dogo pia unaeza kuta kuna sehemu na yeye anahonga hela mwanamke mwingine, na huyo mwanamke hamzingatii kihivyo uyo dogo Tonny Kapola Gas Station
 
Uko sahihi. Dogo ana pisi yake na wamepanga kuoana March 2026. Huko ndiko anagharamia. Na sitashangaa kama huyo binti anayegharamiwa naye ana mtu wake anayempa pesa za dogo 😂

Huu mchezo hautaki hasira wallahi!
 
Back
Top Bottom