Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

Habarini,

Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha.

Nilipita pita mtandaoni nikakutana na hii post, comments nlizoziona za hawa kina leo dada binti kiziwi Joanah zinavunja moyo kwa kweli.

Kwa comments hizi kweli mwanaume lazma uogope hata kujitoa👇🏾


View attachment 3680513

View attachment 3680515

View attachment 3680517

View attachment 3680518

View attachment 3680519

View attachment 3680520

Bado sijaweka post ingine ya kingereza, wanawake walivokuwa wanafunguka kuhusu hao wanaume wanaowahudumia. It's horrifying na unakuta mwanaume moyoni una amani na unajisifu mbele za watu kua una mke na life partner 🥹 kumbe mkeo/girlfriend ni moja ya wadada wanaokuwazia hivyo..
Mjue sana Mungu wanawake wa aina hii unawakwepa.
Haitakiwi uwaze sana.
 
Kuna mke mwenye watoto 4 kwenye ndoa rasmi ya kijamii na kiimani amedhamiria kumpoteza/kumuua mumewe kwa mbinu za kiafrika ili amiliki vimali walivyochuma.

Jamaa anakonaa kazini juani na mvua - kwao ndio mtoto pekee wa kiume; na anayeeleweka.

Mke anadai kuwa vimali vinatosha kulea watoto, jamaa akiendelea kuwa hai anaweza oa mke mwingine - bi mdogo.

Vita ya 'nne' ya dunia unaweza kuwa kati ya wanawake na wanawake kutokana na wivu wa kutaka kumiliki kila kitu - wanaume na mali
 
Hakuna sehemu watu wanafunguka ukweli wao kama hizi mada ushenzi za mtandaoni. Mimi naamini kinachosemwa hapo 💯 ni ukweli.
Tusisahau hapo kuna selection bias kubwa sana.

Mada inauliza kama kuna wanawake wapo na wenzao kipesa na sio kimapenzi,

Watakaojibu ni wenye huo uzoefu. Lakini, hawawakilishi wanawake wote.

Ni kama tuulize wangapi wanaipenda CCM, halafu utegemee kina Heche wanyoshe mkono.
 
Habarini,

Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha.

Nilipita pita mtandaoni nikakutana na hii post, comments nlizoziona za hawa kina leo dada binti kiziwi Joanah zinavunja moyo kwa kweli.

Kwa comments hizi kweli mwanaume lazma uogope hata kujitoa👇🏾


View attachment 3680513

View attachment 3680515

View attachment 3680517

View attachment 3680518

View attachment 3680519

View attachment 3680520

Bado sijaweka post ingine ya kingereza, wanawake walivokuwa wanafunguka kuhusu hao wanaume wanaowahudumia. It's horrifying na unakuta mwanaume moyoni una amani na unajisifu mbele za watu kua una mke na life partner 🥹 kumbe mkeo/girlfriend ni moja ya wadada wanaokuwazia hivyo..
Kuna tofauti kati ya Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe na Mke au Mume wa kupewa na Mungu

Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
 
Raha ya mwanamke awe amekufia kihisia yani,,,hasikii halali hatulii kwa kukuwaza wewe muda wote anakusumbua kwa simu na wewe huna habari naye!

Ukifikia hapo oa tu ila sio mwanamke unamlazimisha mpaka na hela sijui umlipie kodi ndio aje mwende dating. Huyo hakupendi
 
Jinsi ya kumjua ndiyo kazeze inapoanzia.Halafu,waliagizwa "WAWATII WAUME WAO" na siyo "KUWAPENDA"!🤔🤔🤔
Mwanamke anayekupenda ni simple sana kumjua😄 tena simple kama A,B,C.

Mwanamke yeyote akikupenda huwa hana masharti na hufanya effort kubwa kuhakikisha anapata muda wa kuwa na wewe bila hata wewe kulazimisha. Atakupigia simu, atataka kujua hali yako na kukusaidia ikiwa una changamoto yeyote ile. Atakushirikisha mipango yake kwa uwazi na kutaka ushauri wako kama mtu muhimu kwake. Kiufupi mwanamke akikupenda anakupa umuhimu kwenye maisha yake ila kama hakupendi utatumia sana hela hata kuonanana nae tu inakuwa shida. Visababu haviishi!
 
Habarini,

Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha.

Nilipita pita mtandaoni nikakutana na hii post, comments nlizoziona za hawa kina leo dada binti kiziwi Joanah zinavunja moyo kwa kweli.

Kwa comments hizi kweli mwanaume lazma uogope hata kujitoa👇🏾


View attachment 3680513

View attachment 3680515

View attachment 3680517

View attachment 3680518

View attachment 3680519

View attachment 3680520

Bado sijaweka post ingine ya kingereza, wanawake walivokuwa wanafunguka kuhusu hao wanaume wanaowahudumia. It's horrifying na unakuta mwanaume moyoni una amani na unajisifu mbele za watu kua una mke na life partner 🥹 kumbe mkeo/girlfriend ni moja ya wadada wanaokuwazia hivyo..
Hapo Ubongo na kumuomba mola vifanye kazi.Tunaibiwa sana mkuu.Mi sitoi hela hovyo hovyo aheri nijiunge bando niingie tik tok
 
Sema ni ngumu tu lakini kuna haja ya kutowekeza hisia zako kwa mwanamke. Binafsi mpaka hapa nimeweza kwa 80% walau, my feelings are mine!
 
Kuna wakati mipango na muda haukuwa sawa kwa kuoa,kuna mwamba akatokea ili aoe mwanamke niliyekuwa nae wakati huo..kwa bahati alijua uhusiano wetu hata kabla hajaamua kuoa.mpaka akanifata kabisa akanipa somo nikaelewa,yule mwanamke tukaachana ile fresh bila kukwaruzana kwa sababu malengo kwa wakati ule yalikuwa tofauti.
Changamoto ikawa alichofata kwa mshkaji ilikuwa kiuchumi sana kuliko upendo kilichotokea ndo kuntafuta mpaka kunipata.Uzuri ni kwamba kiume wengine hatuli wake za watu hata iweje,ndo alipoponea vingineyo ndo unaoa una watoto wa4 ila wako ni m1 tu.
 
Kwani Adamu alipewa mke(Eva) na nani..!?
Samsoni na Delila je..!?
Adam alipewa Mke mwema lakini akampa Ibilisi(adui) nafasi. Hakusimama kama mlinzi wa Agano lake na Mungu(Inconsistency). Ukipewa chema kilinde kisiharibike!

Samsoni alijitafutia Mke yeye mwenyewe. Alioa Mke ambaye ni wakala wa Maadui zake.
 
Tusisahau hapo kuna selection bias kubwa sana.

Mada inauliza kama kuna wanawake wapo na wenzao kipesa na sio kimapenzi,

Watakaojibu ni wenye huo uzoefu. Lakini, hawawakilishi wanawake wote.

Ni kama tuulize wangapi wanaipenda CCM, halafu utegemee kina Heche wanyoshe mkono.
Hata mimi siyo kwamba nime-conclude kwamba ni wote wapo hivyo. Inabidi ufahamu namna hawa wanavyo operate.

Labda nikuulize swali;

Watoto wadogo wakikutana huwa wanaongelea michezo yao, cartoon wanazoangalia etc

Wanaume wakikutana lugha yao moja ni kuongelea mambo ya siasa, michezo kama mpira, mambo ya hela. Sehemu wanapenda kukutana ni bar.

Wanawake nao wanapenda kukutana saloon, vikundi vya wamama na huko umeshawahi kujiuliza wanaongelea nini haswa?

My point is general awareness ni muhimu kuwa nayo ili usiwe mhanga wa hizo manipulation tactics wanazotumia huku ukiambiwa maneno mazuri mazuri ukajiona unapendwa sana; kumbe wenzio wana ajenda zao wewe huzijui.
 
Back
Top Bottom