secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kwa moyo mkunjufu nawakaribisha mashekhe, wachungaji, na wanganga wa kienyeji wanitafsirie hii 👇 michoro na maandishi Yana maana gani.
Sidhani bwashee! 😁Pameandikwa , MENE TEKELI NA PERES
Mene , ufalme wako wa nyeto Mungu anaukomesha
Tekeli, umepimwa kwenye mizani umeonekana umepungu kg 10.
Pères. Ufalme wako umegawanywa na kupewa BICHWA KOMWE - na Busu la Kenge
Kuna nini tena basiiii 😅Pameandikwa , MENE TEKELI NA PERES
Mene , ufalme wako wa nyeto Mungu anaukomesha
Tekeli, umepimwa kwenye mizani umeonekana umepungu kg 10.
Pères. Ufalme wako umegawanywa na kupewa BICHWA KOMWE - na Busu la Kenge
Eleza kilichoandikwa kina maana gani.Kitakulamba
Ni ngori sana.Duh mbona imekaa kama ngori.
Ila waafrika tunaweka imani kwenye mambo ya kijinga. Unaweza kukuta jamaa amefanya hivi ili kumshika demu kiganga.Hamna kitu hapa ni mjanja wa town kwenye moja na mbili anajitafutia rizki kwa maboya
hakuna unganga hapo gentleman,Kwa moyo mkunjufu nawakaribisha mashekhe, wachungaji, na wanganga wa kienyeji wanitafsirie hii 👇 michoro na maandishi Yana maana gani.
View attachment 3704092
uko sahihi 100% ndugu mdau wa jf 🐒Hamna kitu hapa ni mjanja wa town kwenye moja na mbili anajitafutia rizki kwa maboya
Haya nayo yamekushinda kuelewa? Tatizo uliacha shule mapema kisa mwalimu mkuumamaakoKwa moyo mkunjufu nawakaribisha mashekhe, wachungmaakoaji, na wanganga wa kienyeji wanitafsirie hii 👇 michoro na maandishi Yana maana gani.
View attachment 3704092
Nisije nikawa nimeharibu mipango ya watu.Mbona hiyo ni Sratch ya Reli hatua za Mwanzo..hivyo nawewe chukua hatua mapema
Ni ngori gentleman!hakuna unganga hapo gentleman,
labda waganga wa mchongo wa dar 🐒
NASA wa bongo hao kuwa makini😃Nisije nikawa nimeharibu mipango ya watu.