Hiki👇 kilichoandikwa ni nini, wakuu? Nimetokwa na macho mithili ya Zongobinyo mjue! 😲

Nakumbuka miaka ya 2010s kuna siku nilikuta ndumba ofisini kwangu. Siku hiyo wife ndio alienda kufungua. Alipoiona kwa uoga akaogopa kufungua mlango sababu ilikuwa imewekwa mlangoni. Akanipigia.
Nilipoebda nikakuta watu kibao wanaiangalia bila kuigusa. Nikachukua. Nikaifungua. Nikakuta nywele, manyoya kama ya kuku, shanga na makaratasi yaliyoandikwa kiarabu.
Nikaichoma moto. Mpaka leo sijaona madhara yoyote.
Nadhani ni michezo ya akili tu. Ukiwa na hofu unataka kwenye reli, Kila tukio likitokea unalihusisha na ndumba.
 
Nakumbuka miaka ya 2010s kuna siku nilikuta ndumba ofisini kwangu. Siku hiyo wife ndio alienda kufungua. Alipoiona kwa uoga akaogopa kufungua mlango sababu ilikuwa imewekwa mlangoni. Akanipigia.
Nilipoebda nikakuta watu kibao wanaiangalia bila kuigusa. Nikachukua. Nikaifungua. Nikakuta nywele, manyoya kama ya kuku, shanga na makaratasi yaliyoandikwa kiarabu.
Nikaichoma moto. Mpaka leo sijaona madhara yoyote.
Kuna duka nilimtuma dogo akalisafishe Baada ya mpangaji kuondoka
Kwenye shelf za juu kulikuwa na wale dolls wa vitambaa kachomwa na
Sindano tatu za kushonea

Dogo akaniita kulikuwa na makaratasi pia na maandishi
Nikampigia jamaa akaruka tambo Mia na kusema atakuwa mke wake huyo
Basi nikapiga kiberiti
 
Back
Top Bottom