Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kupatikana kwa kaburi la pamoja lenye miili sita iliyofungwa na kufunikwa macho kusini magharibi mwa Guinea kumezua hofu na maswali mengi.
Mashirika 20 ya kiraia barani Afrika yanaitaka serikali kufanya uchunguzi huru na kuwahusisha wataalamu wa ndani na wa kimataifa.
Tukio hilo linakuja wakati kukiwa na wasiwasi kuhusu zaidi ya watu 35 walioripotiwa kutoweka tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021