CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .

Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.

Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.

Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.

Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
 
RIP Magufuli
 
Umeongea point kubwa sana, JPM alifungua watu akili na mtizamo chanya. Anaebisha ni haki yake pia kubishia kila.jombo
 
Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.

Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.
Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.

Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
Hakika Eltwege mfuasi wa kudumu wa jiwe
 
Mpelekeni mwamposa akamfufue mungu wenu wa kuchonga,muuaji, dikteta,

Tangu apotee chini ya ardhi mama yetu ambae ni mkewe amenawili kweli kweli, ni jibu tosha alikuwa anaishi na kiumbe hatari
 
Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.

Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.
Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.

Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
ok.
sawa ndugu mpiga ramli :pedroP:
 
Hakika japo watakupinga
 
Kwa nini aliua upinzani bungeni?
Kwa sababu walikuwa wakimpinga kwenye mambo ambayo alikuwa anajua fika nchi inachezewa.

Mfano mzuri Jiwe alikuwa akipambana na mikataba dharimu ya madini ambayo alikuwa anajua fika kabisa haina manufaa kwa nchi lakini wapinzani wakawa wanampinga akahisi wsnatumwa na hao walioingia mikataba kabla.

Ni sawa na wewe uwe unafanya kazi katika taasisi flani na wakati ukiwa unafanya kazi ukagundua kuna mifumo haipo sawa na inainyonya taasisi na kunufaisha matumbo ya watu.
Baadae ukapewa ukuu wa taasisi then ukaanza kunyoosha mifumo ili taasisi ipate faida halafu baadhi ya wafanyaka i waanze kukupinga nadhani lazima ungefanya kama Magu.

Inshort hii nchi inahitaji udikteta kama wa Magu ili kuendelea japo ana madhaifu yake ila alikuwa bora kwenye kutetea maslahi ya nchi nadhani hata nyie kuna muda mkikaa huwa mnajisemea jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.
 
Back
Top Bottom