Iko kwa mke wangu!Flyover uliyoanzisha wewe iko wapi
Kuliko aliekoKwa nini aliua upinzani bungeni?
Aliyeko ameuzika.Kuliko alieko
Alikuwa anajua upinzani wa akina Mbowe ni wa CCM_Mtandao.Kwa nini aliua upinzani bungeni?
Kwa nini aliua upinzani bungeni?
Wa LissuUpinzani wa Mbowe come on nigger
We mshamba kafiche huo upumbavu wako, aliyejenga ana anayeendelea kujenga hiyo reli ni Samia, halafu achana na Kikwete, yule.mzee ni level nyingine usimfananishe na mshamba km Magufuli. Mpango wa hiyo reli kujengwa ulikuwa ndani ya ilani ya CCM, CCM ina mipango ya muda mrefu inayotelekezwa kwa awamu we kengeBila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.
Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.
Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.
Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
Yalianzia awamu ya Nne 😳Alianzisha utekaji.
Nchi hii ni tajiri, bila Magufuli tusingekuwa na fly over, stand za mabasi, masoko, SGR, bwawa la Nyerere, ATCL ,Ikulu ya Chamwino na kikubwa zaidi bado tungekuwa Dar Es Salaam badala ya Dodoma, Bandari ingeendeshwa na serikali, wamasai wasingehamisha huko kwao, tusingekuwa huru wakati wa Corona na mengine mengi Magufuli hana mfano, itachukua muda sana kumpata mtu mwenye uthubutu kama Magufuli.Umeongea point kubwa sana, JPM alifungua watu akili na mtizamo chanya. Anaebisha ni haki yake pia kubishia kila.jombo