CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

..pia wanajilaumu kwa siasa za utekaji, utesaji, na mauaji, alizokuja nazo Magufuli.

..Ccm iko ktk mtihani mkubwa wa kutafuta namna ya kuondokana na genge la wasiojulikana.
Samia ameteka mpaka makamu wake wa Rais
 
Mkwere yeye kusaini tu kujenga aaaa!
Hata ujenzi wa Ikulu alisaini yeye
Daraja la rufiji alijenga mwinyi mkapa akafanya finishing lakini linaitwa daraja la mkapa
Mkwere kajenga vingi na kasaini vingi,hata barabara ya itigi-tabora kasaini na kujenga mkwere lakini ilimaliziwa kipindi cha magu
Ikulu pana limitation ya muda,hukai milele
 
Hata bwawa la umeme alisaini mkwere
 
Back
Top Bottom