CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

Umeongea point kubwa sana, JPM alifungua watu akili na mtizamo chanya. Anaebisha ni haki yake pia kubishia kila.jombo
Kuna majitu huwa yanajitoaga akili mkuu ila Mzee alionyesha njia kwa vitendo japo yeye si malaika na haitotokea binadamu kuwa mkamilifuu ila aliwafaa wengi
 
Hawa wanaokwenda kwenye mikutano na kumsikiliza wasira mhhhhh
 
Kiuchumi Tanzania iliingia uchumi wa kati enzi ya Magufuli

Muda uli

Umenena vyema
Leo hii hi akngekuwepo hata ajali zinazosababishwa na udogo wa bara bara ya morogoro zingepungua kwa kuongezea njia nne hii zone unaweza kulaum madereva ila njia yake nyembamba na magari makubwa mengi yanapita hapa RIP chuma uliwafaa wengi
 
Kweli kabisa
 
Kwa sababu walikuwa wakimpinga kwenye mambo ambayo alikuwa anajua fika nchi inachezewa.

Mfano mzuri Jiwe alikuwa akipambana na mikataba dharimu ya madini ambayo alikuwa anajua fika kabisa haina manufaa kwa nchi lakini wapinzani wakawa wanampinga akahisi wsnatumwa na hao walioingia mikataba kabla.

Ni sawa na wewe uwe unafanya kazi katika taasisi flani na wakati ukiwa unafanya kazi ukagundua kuna mifumo haipo sawa na inainyonya taasisi na kunufaisha matumbo ya watu.
Baadae ukapewa ukuu wa taasisi then ukaanza kunyoosha mifumo ili taasisi ipate faida halafu baadhi ya wafanyaka i waanze kukupinga nadhani lazima ungefanya kama Magu.

Inshort hii nchi inahitaji udikteta kama wa Magu ili kuendelea japo ana madhaifu yake ila alikuwa bora kwenye kutetea maslahi ya nchi nadhani hata nyie kuna muda mkikaa huwa mnajisemea jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.
Kwenye hili halina ubishi na wanajua ila usitumie nguvu kumshawish mtu kumuaminisha kuwa chumvi ni sukari mpk Sasa kwenye magari na sehemu na mitaani Kuna pic za magufuri kuliko rais yoyote yule na ni kwa upendo tu nilipitia Kenya mwaka Jana niliona matatuu yakiwa na jina lake na Uganda pia mpk julius malema wa SA alienda sawa na falsafa yake ila ndo ivyoo imebaki story
 
Kwa nini aliua upinzani bungeni?
Si upinzani wote upo kwajil ya kuleta fikra chanya ndani ya nchi na Yale wanayosema wapinzani alishaanza kuyatekeleza kama lissu akikubali baada ya magu kufariki na kumtetea kwa Yale aliyoyafanya wewe ni Nan mkuu ulipinge hili ??au hukuona Ile video? magu sio malaika kwamba afanye kila wanachotaka wapinzani ila aliyoyafanya kwa mda mchache yaliwafunga mdomo na upinzani sio kupinga kila kitu sababu tunajenga Taifa moja hope umenielewa kwa mbali may be una m engine ambayo siyajui (mikataba ya ulaghai, ujenzi wa miundombinu, nidhamu ya utendaji kazi kwa serikali ,gharama za maisha ,na mengine mengi je sera gan ambayo upinzani waliipigania ambayo magu hakuifanya hata kwa 50% ukiachana na katiba ??
 
Kwenye hili halina ubishi na wanajua ila usitumie nguvu kumshawish mtu kumuaminisha kuwa chumvi ni sukari mpk Sasa kwenye magari na sehemu na mitaani Kuna pic za magufuri kuliko rais yoyote yule na ni kwa upendo tu nilipitia Kenya mwaka Jana niliona matatuu yakiwa na jina lake na Uganda pia mpk julius malema wa SA alienda sawa na falsafa yake ila ndo ivyoo imebaki story
He was the best presidet we ever had ,ukiona mtu anahasira nae sana jua aliguswa kwenye mfumo wa kulinyonya taifa
 
Ni tabia yetu Watanzania kuiona jana ni afadhari kuliko leo!
Wakati wa Mzee Ruksa tuliona Nyerere alikuwa afadhari,wakati wa Mkapa tuliona Mwinyi alikuwa afadhari.
Sasa atakayekuja tutasema Mama alikuwa afadhari!
Lin uliisikia watu wakilia RIP mwinyi toka kuanza kwa Nyerere mpk Sasa katika watu wanaokumbikwa zaid ukimtoa Nyerere ni magu unaweza dhurula dar nzima kuanzia kwenye mabasi office za company usikute hata pic ya mwinyi si kwa ubaya ila ngumu kukosa pic ya Nyerere na magufuli sehemu izo
 
He was the best presidet we ever had ,ukiona mtu anahasira nae sana jua aliguswa kwenye mfumo wa kulinyonya taifa
Kama wale wa kimara walioguswa na bara bara wakati wanauziwa waliambiwa kbs na wauzaji kuwa hapa mda wowote mambo yataenda kombo kwa wajanja walikaa mguu njee mguu ndani hawakuamin sababu ma rais waliopita walikuwa hawapo active kutekeleza miradi kikubwa so waliona porojo lkn Mzee alifanya kweli japo walisema ubabe niliwah kaa na tajir mmoja mwenye asili ya Asia alisema hili japo naye alikuw mhanga na mpaka Leo ana nyumba nying usawa wa road nyingine alibomoa mwenyewe ili kupisha ujenzi wa njia dar to chalinze ila kwenye siasa ni kupakaziana tu but kama Leo Mungu si athuman nimeokota kijit miaka kadhaaa ijayo ntapita njia zake na kuboresha Yale machache aliyo kosa sio kosa ila kurudia kosa ndo kosa
 
Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .

Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.
Jakaya aliajiri,alipandisha mishahara kila mwezi, wanafunzi walipata mikopo,wafanyakazi walipanda madaraja,alijenga lami 6000km,magu hata 2000km hakufikisha
Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.

Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.

Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
Reli gani ya umeme iliyojengwa kwa pesa za ndani?
Mgao wa umeme mbona uliisha awamu ya pili ya jakaya
 
Huo ndo ukweli mchungu Magufuli alikuja kufungua bongo za watu wengi sana
Siyo kweli, alikua propaganda nyingi tu,alikopa kwa miaka sawa na jakaya alivyokopa miaka 10,alipopiga marufuku wenye mimba kurudi shule na kuweka Sheria ya kidikteta ya takwimu,mabeberu walizuwia misaada/mikopo,vimemo vikaenda chapu bungeni kurekebisha Sheria Ili tupewe hela
 
Pia Magufuli ni muasisi wa kujenga flyover ambazo mmeacha kujenga lakini utekaji hamuachi kenge nyie
Flyover mbona alishasaini mkwere,hasa hiyo ya tazara,tena ilikua iende na uelekeo wa buguruni,na ya ubungo ilikua ghorofa tatu,Mungu wenu akaweka moja tu,tatizo awamu ya nne mlikua bado msingi au o level,kuja kutokea rais kama mkwere sidhani
 
Mkwere yeye kusaini tu kujenga aaaa!
Hata ujenzi wa Ikulu alisaini yeye
 
Siyo kweli, alikua propaganda nyingi tu,alikopa kwa miaka sawa na jakaya alivyokopa miaka 10,alipopiga marufuku wenye mimba kurudi shule na kuweka Sheria ya kidikteta ya takwimu,mabeberu walizuwia misaada/mikopo,vimemo vikaenda chapu bungeni kurekebisha Sheria Ili tupewe hela
Samia amekopa shs ngapi
 
Umenena vyema
Kama wale wa kimara walioguswa na bara bara wakati wanauziwa waliambiwa kbs na wauzaji kuwa hapa mda wowote mambo yataenda kombo kwa wajanja walikaa mguu njee mguu ndani hawakuamin sababu ma rais waliopita walikuwa hawapo active kutekeleza miradi kikubwa so waliona porojo lkn Mzee alifanya kweli japo walisema ubabe niliwah kaa na tajir mmoja mwenye asili ya Asia alisema hili japo naye alikuw mhanga na mpaka Leo ana nyumba nying usawa wa road nyingine alibomoa mwenyewe ili kupisha ujenzi wa njia dar to chalinze ila kwenye siasa ni kupakaziana tu but kama Leo Mungu si athuman nimeokota kijit miaka kadhaaa ijayo ntapita njia zake na kuboresha Yale machache aliyo kosa sio kosa ila kurudia kosa ndo kosa
 
Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .

Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.

Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.

Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.

Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.

Kazi kweli kweli...kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. Naaam
 
..pia wanajilaumu kwa siasa za utekaji, utesaji, na mauaji, alizokuja nazo Magufuli.

..Ccm iko ktk mtihani mkubwa wa kutafuta namna ya kuondokana na genge la wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom