BIASHARA YA VIPURI VYA MAGARI NA PIKIPIKI: FURSA YA KUJIAJIRI TANZANIA
Gari likiharibika, mmiliki anaweza kuahirisha safari, lakini hawezi kuendelea kulitumia bila kurekebisha tatizo. Hapo ndipo fursa ya biashara ya vipuri inapoanzia!
Biashara ya vipuri (Selling Spare Parts) inahusisha kununua...
Habari wana Jamii Forum, tatizo la figo limekuwa changamoto kwa wengi kunayo tiba asili yenye matokeo chanya kwa mwenye tatizo hilo karibu utatumia dawa hii ya asili kwa siku 21 tu na kuona matokeo yake.
Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo.
Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI."
Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
Nchi ya Israel inaongozwa na falsafa ya kijasusi na kijeshi inayoweka usalama na uwepo wa taifa hilo kama kipaumbele cha kwanza kuliko kitu kingine chochote, ikiwemo sheria za kimataifa au mahusiano ya kidiplomasia.
Msimamo huu unatokana na mazingira yao ya kihistoria (kama vile Maangamizi makuu...
Kuanguka kwa majengo nchini Kenya mwaka 2026, hadi lini tutapoteza maisha?
Leo Tarehe 23 Oktoba 2026, macho ya Wakenya yanaelekezwa Eastleigh, Nairobi, baada ya jengo la ghorofa nyingi zaidi 10 lililokuwa kwenye ujenzi kuripotiwa kuanguka.
Tukio hili linaibua Maswali, Je, usalama wa majengo...
N lini LATRA watafuatilia suala la daladala za vikunai - gerezani /steshen kukatisha route? Nu miaka mingi sasa magari yakanatisha route na kuishia mbagala kuu ilihali yanapaswa kufika mgeninani had vikunai
Kadri siku zinavyoenda sehemu ya kiungo ya Yanga inazidi kuwa exposed.
Ni tatizo kubwa la msimu huu na ndio tatizo litafanya tuishie makundi kwenye champions league endapo titafuzu.
Muda, Ngoma, Abuya sio viungo wa kutupeleka popote. Mbaya zaidi wakichemka ndio hakuna kabisa replacement yao...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu.
Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba watanzania ni wajanja wajanja na matapeli kwa asili.
Lakini je, tumewahi kujiuliza kama mazingira...
Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !!
Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi.
Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza.
Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza.
Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali.
Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
dalili
hatua
hofu
jambo
kuchukua
kuchukua hatua
kujiongoza
kulazimishwa
kuliko
kutafuta
lawama
maji
mapema
moja
moto
muda
nidhamu
tatizo
tuanze
tuna
visingizio
wapo
watanzania
wengi
Mwanamume unaamini mwanamke akisoma anakuwa tatizo kwenye mahusiano, ‘hatawaliki’ na ataishia kuwa msimbe.
Kwa nini sasa unasomesha watoto wa kike? Unawaandaa kuachika?
Haya. Umeoa asiyesoma. Unamtawala kifikra kama unavyotaka. Lakini mbona yakijitokeza matatizo, unasema tatizo ni uelewa...
Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:
1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.
2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada...
Tatizo ni machawa
Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud)
Tumejifunza
katika Boraitha: Kama utaishi katika kizazi ambacho kuna shida nyingi(mateso), nenda ukachunguze miongoni mwa waamuzi( majaji) wa...
Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud)
Tumejifunza
katika Boraitha: Kama utaishi katika kizazi ambacho kuna shida nyingi(mateso), nenda ukachunguze miongoni mwa waamuzi( majaji) wa Israeli; kwani shida...
Habarini za wakati huu wanajamii forum.
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 23.Nimekuja hapa kuomba ushauri nasaha juu la tatizo la kiafya linalosumbua kwa muda wa miaka mitano sasa .
HISTORIA YA TATIZO (Nahisi ndiyo chanzo lakini madaktari huwa wanakataa wakidai havina uhusiano)
Mwaka 2020...
Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta.
1.Nachukiwa bila sababu kazini
2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima
3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama...
Kwa takribani miaka mitano sasa, tembo wamekuwa wakiingia katika mashamba ya wakulima wa Liwale na kuharibu mazao, ikiwemo mikorosho.
Je, mamlaka zimeshindwa kudhibiti tatizo hili, zinafanya makusudi, au hazina uwezo wa kulitatua? Mpaka lini wakulima tutaendelea kupoteza mazao na kuhatarisha...
Nimekuwa nikitumia NMB Mkononi kwenye simu yangu ya zamani. Kwa bahati mbaya, simu hiyo iliharibika. Baada ya kupata simu mpya, nime-install NMB Mkononi na kujaribu kuingia kwenye akaunti yangu, lakini nimekuwa nikishindwa.
Nimekuwa nikijaribu kwa takribani miezi mitatu, lakini bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.