Ukweli ni kwamba mimi nikisikia mwanasiasa yeyote sijui katekwa sijui kapigwa sijui kafariki sishtuki hata kidogo na hata tone la huruma halinijii najua ni matokeo ya ugali wanaoutafuta kwa hila za kujifanya wanapenda maendeleo ya watu. Mimi nilivyosikia Sarungi katekwa niliumia sana na wengineo...
Kama ukisoma historia ya maeneo ya maziwa makuu ya Afrika ya kati hutakosa historia ya tawala ya falme za hima zikijulikana kama 'hima empire' na wana historia. Watutsi ni mbari ya kihima. Wahima walijipachika kwa hila au kwa kumwaga damu kua watawala juu ya makabila ya mbari za kibantu.
Kabla...
Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi.
Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi.
In fact,almasi hatuisikii kabisa.
Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school.
Nikaenda nyumbani weekend nikarudi na keki.
Nimekaa dormitory nakula keki na rafiki yangu yupo...
Hellow wakuu,
Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka
Nimeona nianzishe uzi huu ili kila mtu aone na aelimike ikibidi asaidike,
Kukosa usingizi sio...
Salaam,
Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu ni kama kuwafanya vituko. Hugeuza tatizo lao kuwa utambulisho badala ya kumsaidia.unakuta uko eneo...
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?
Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..
Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa
Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku...
Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
Kuna changamoto kubwa katika ufundishaji wa hii part ya chemistry ukitaka kujua chemistry ni rahisi sana hata kwa mjinga kufauku bila kusoma na kuelewa kwa sababu wengi Wana kalili sana, tatizo kubwa hata walimu wa Hilo SOMO wakifika kwenye hivi vipengele hawajui kuelewesha wanafunzi kama...
Niaje wakuu…
Ni hivi, ni rahisi kujifunza syntax za programming language yoyote ila shida kubwa ambayo inawasumbua watu wengi ni namna ya kubadili hizo concept na kuziweka kwenye mfumo wanaouhitaji.
Na ndio maana nimekuja hapa niweze kukupa hii mbinu ambayo itakusaidia kwenye safari ya usomaji...
Majeraha yanaweza kupelekea hali isiyo ya kawaida ya Mfupa kujiunda kwenye tishu (Myositis Ossificans) ni hali isiyo ya kawaida ambayo mara nyingi hutokea kwa wanariadha wanaopata jeraha ambalo husababisha kutokwa na damu ndani kwa ndani, kwenye misuli ya ndani. Kutokwa na damu nyingi ndani ya...
Habari za jumapili wana jukwaa wote.
Naomba niende MOJA kwa MOJA kwenye mada, Nina ndugu yangu anasumbuliwa Sana na Uric Acid.
Ni mwezi sasa amekuwa wa kukaa na kulala tu uku akilalamika maumivu makali anayoyapata kwenye Maungio ya mwili wake.
Ameshakwenda hospitali na kufanyiwa vipimo NDIO...
bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani?
Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana?
uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...
Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru halmashauri ya Meru tangia usiku mpaka sahizi hakuna umeme tuko gizani shida ni Nini? Wakati huo KUANZIA kesho Marais wa nchi za Africa wanaanza...
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.
Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.
1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
Hi!
Binadamu mwenye akili timamu au mwenye standard IQ anapaswa awe na aibu na utu.
Nilomsaidia brother mmoja kumnunulia simu baada ya kuona simu yake ina matatizo. Sasa anataka nimsaidie kununua kaunta book za watoto wake. Anapiga simu kama ugomvi.
Nilomsaidia mtu kupata kazi mahali kipindi...
Habari wana jukwaa.
Nina Halotel Mobile Wifi Mfi_0428F2 ambayo nimeitumia vyema kwa kipindi cha miaka 2, ghafla tu imeanza kuleta shida kama ifuatavyo.
Ukiweka line na kuwasha, mara inakwambia connecting....then inaconnect halafu baada ya sekunde 30 inaleta insert sim.
Wakati mwingine ukiiwasha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.