Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime...
Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani.
Pamoja na jitihada kubwa walizofanya wachezaji na hali ya Upambanaji waliyoionyesha lakini ilionekana wazi baadhi ya Wachezaji miili...
Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki??
Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
Kama kichwa cha habari husika
Nimejichunguza vya kutosha nashindwa bado kujipa majibu ya uhakika… ni mimi nina tatizo ama ni hali ya kawaida tu kwa kila mwanamke
Mimi sio mwenyeji sana kwenye hiyo sekta ya kunyanduana bado sijakomaa hivyo so inanifanya wakati mwingine nijishtukie mno haswa kwa...
Hello wanafamilia,
Nimebainika kuwa na tatizo tajwa hapo juu. Hii ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ukavu wa choo, constipation.
Katika medicine, tatizo linapokuwa sugu na hatarishi,dawa ni upasuaji unaohusisha kuukata/kuupunguza utumbo. Ninaomba uzoefu kwa mlioona ,kusikia au kupitia...
Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni...
Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza watu wenye akili ni kwa nini matukio haya yanaendelea?
Sote tunakubaliana kuwa Magufuli alikuwa...
Nimeshituka sana tangu Jana kuaona ajira za walimu na idadi ya walioomba , kumbuka anayesoma ualimu ni either 1. Mtoto wa maskini 2. Uwezo mdogo shuleni 3. Kama hayo mawili hayapo Basi alikumbwa na matatizo flani kwenye maisha, mimi ni mwalimu ualimu hauwezi kuwa kimbilio , hii idadi ya...
GTs,
Dkt Samia na jopo lake asilaumiwe kwa yanayoendelea.
Dogo ndiyo tatizo, yaani Muliro mcheki sura yake yaani mwili na roho havisomani kabisa na ukizingatia ni January.
Habari zenu Naombeni msaada ndugu zangu Nina tatizo la miguu kuuma kwenye visigino
Nikikaa muda mfupi bila kutembea nikiinuka tuu nianze kutembea miguu inauma sana nashindwa kukanyaga chini pia nikikaa kwenye sehemu inayohitaji nining'inize miguu nikiishusha chini ili nitembee inauma sana...
Wana bodi!
Mimi kama Kuhani Katika Hekalu Jeusi ambaye ninaufahamu wa mambo mbalimbali ya Kiroho. Nimeona niwajulishe hili.
Kwenye huu Ulimwengu kuna watu walichorwa Alama na miungu ambayo alama hiyo kwao ni ulinzi. Ukiwagusa unapasuka wewe.
Kwenye Biblia mtu pekee aliyeripotiwa kuwekewa...
Tumekuja shtuka mwenyekiti kila akihojiwa anaelezea jinsi ambavyo amemsaidia Lissu. Kila akihojiwa anaeleza amefanya mangapi kwa Lissu.
Na anaeleza ametoka wapi na Chama. Sera zake kuu ni
1. Kukichangia Chama
2. Kumsaidia Lissu.
Sasa hapa tumeshakubaliana. Kesho akaelezee Sera zake kwa wana...
Salamu kwenu wakubwa zangu.🙏
Wakuu nina changamoto ya kifamilia, kiafya zaidi na ninaomba msaada kutoka kwenu.
Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya sekondari ya juu ninaishi na mzee (baba), wadogo zangu pamoja na mama wa kufikia. Situation ipo hivi ndani ya siku za hivi karibuni since last year...
Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa
Habari,
Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma - Area D, hasa mtaa wa Mganga/Mtawa karibu na zilipokuwa ofisi za Pembejeo.
Kwa sasa, kinyesi kimeenea...
Anonymous
Thread
dodoma
maji
maji machafu
mtaa
tatizotatizo la maji
Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi.
Kwa...
Wakuu poleni nyote na majukumu ya leo, msaada naombeni Kuna ndugu yangu anamafua ya muda mrefu yapata Kama mwaka, alienda hospital akapatiwa dawa za allergy au mzio lakini Bado ,yani pua zinamziba sometimes anashindwa hata kuhema vizuri msaada wakuu nafanyaje hapa Sasa .
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums.
Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni.
Kwenye mada sasa.
Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu...
Nikitembea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengi ya Tanzania jambo kuu linalonijia kichwani ni kwamba, Tanzania tutapata maendeleo ya kweli pale tu tutakapopata Viongozi wenye akili na wasioendekeza rushwa.
Haiingii akilini kwa upana wa kujenga barabara uliopo kati ya Gongo la Mboto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.