tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kuna watu wazima wanaogua tatizo la kutembea usingizini(sleepwalking)?

    Tatizo la watu kutembea wakiwa usingizini(sleepwalking) ambapo mtu anakuwa anafanya mambo mbalimbali akiwa usingizini huwa common sana kwa watoto wadogo. Huwa inasemwa kwa watu wazima wenye hili tatizo wanaweza kuamka wakafanya mambo mbalimbali wakiwa usingizini ikiwemo kupika na kula kabisa...
  2. At Calvary

    Tatizo la maandishi kujirudia kwenye display, Masada natatua vipi?

    Jambo wapendwa wa jamii forum. Ni matumaini yangu mko poa wote, kwa wenye changamoto nawaombeeni kwa Mungu awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mara. Karibuni nimekuwa nikipata uzoefu mbaya katika utumiaji wa simu yangu. Iko hivi mara kwa mara nikiwasha simu kama ilikuwa imelala imekuwa...
  3. Nrangoo

    Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  4. Nelson Kileo

    Nimerudi tena Baada ya Miaka 2 kwa changamoto za kusahau password, hili tatizo JF mlitizame.

    Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo. Kitu pekee nilichokua nacho kichwani...
  5. K

    KERO Tatizo sugu la umeme Kigamboni

    Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.
  6. Bujoro

    App ya Dstv stream ina tatizo au ni simu yangu tu?!

    Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza. Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
  7. Mshana Jr

    Ni tatizo la kijenetiki tuu

    Akizaliwa ng'ombe au mbuzi wa aina hii kwenye boma lako, utamuua au utamfuga? Wakulima wengi huwaua, lakini kibaolojia hali hii inaitwa Incomplete Genetic Makeup, na hutokea hata kwa binadamu.
  8. Mzee Mwanakijiji

    Wazo la Leo: Tatizo ni Hatujui Watafanya Nini...

    Kilichoahidiwa na CCM na kutekelezwa kwa miaka siting na kitu kinajulikana. Uzuri na Ubaya wa sera zake unafahamika. Watanzania wanajua maisha chini ya CCM. Hakuna kiongozi wa CCM kwa sasa (awe serikalini au chamani) ambaye hajulikani na Watanzania... Hapa ndipo kilipo kibarua cha upinzani...
  9. A

    KERO Uchafu umekithiri maeneo ya Buzuruga ndani ya Jiji la Mwanza, wanaohusika wawajibike

    Leo nilikuwa eneo la Buzuruga Shule, ki ukweli hali nilioiona imenisikitisha sana kutokana na marundo ya uchafu yaliyojazana kwenye mitaro maeneo hayo eneo maarufu la Shule. Wahusika watoke ofisini na kujionea hali ya uchafu iliyopitiliza eneo lote la Buzuruga.
  10. mdukuzi

    Tatizo la Kibabage ni jina lake, atafutiwe a.k.a huwezi kuitwa Kibabage ukawa star

    Kimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita. Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani. Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa inasaidia kumtisha adui Jina kama Ninja, Messi, Spideman, Tshabalala , Mdaka mishale yanatisha
  11. Fazzah5x

    Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

    aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
  12. THE BIG SHOW

    Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

    Friends and Our Enemies, Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA...
  13. S

    Mnaolinganisha mafanikio ya Rais Samia na Rais Nyerere, huenda mna tatizo la afya ya akili kwa kutozingatia ukweli huu hapa

    Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama Raisi hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia hivi sasa. Leo hii ukilinganisha hela...
  14. A

    KERO Tatizo la kukata umeme mara kwa mara Wilaya ya Kiteto

    Kama tunavyofahamu na kuelewa Umeme ni nishati iliyo na nguvu sana na inayorahisisha mambo mengi ktk jamii kama kusaga nafaka flani, kupooza kwenye friji bidhaa flani, kuchomelea, Masaluni n.k Ila Wilaya yetu wanakata sana umeme na kusababisha mzunguko wa pesa kudorora.
  15. Waufukweni

    Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  17. sam mirror 1

    Tatizo baada ya kupangiwa placement

    ...
  18. sam mirror 1

    Tatizo baada ya kupata placement

    ....
  19. J

    Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili. Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu ya mgongo upande wa kushoto, chini kidogo. Hali hii inanipelekea kutoshika vizuri kwa muda mrefu...
  20. Roving Journalist

     Waziri Aweso: Tatizo la Tokeni za Maji za Prepaid, latatuliwa BUWASA

    Hivi karibuni Mdau wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Maji Bukoba - BUWASA, kushughulikia changamoto ya Wateja wa Mita za Maji za Prepaid kukosa Tokeni. Wafanyakazi wa BUWASA wakiwa wanakagua Mita za maji za Prepaid Ni kweli hii changamoto ilikuwepo na sio changamoto ya BUWASA bali...
Back
Top Bottom