tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Wanasiasa mmejipangaje kupunguza tatizo kelele (Noise Pollution) kwenye kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi?

    Wakuu, Jana nilikuwa naangalia takwimu za Watanzania ambao wana matatizo ya moyo kitaalamu Cardiovascular Disease (CVD) Kulingana na report kutoka kwenye tovuti ya Geospatial Health, 13% ya watanzania wana matatizo ya moyo yaani kitaalamu CVD. Hii ikanipa kihali hasa katika kipindi hiki...
  2. Norshad

    Kwa yeyote atakayeguswa na tatizo la huyu ndugu yetu, tunahitaji msaada wako

    Habari ndugu zangu. Natumai wote mpo salama, na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Ndugu zangu, na marafiki zangu na wasio kuwa Marafiki zangu, wote kwa ujumla nina jambo nataka kulileta mbele yenu kwa maana ni kweli kweli nahitaji msaada wenu, wa hali na mali na ushauri pia. Mdogo...
  3. Anti-tozo

    Utawala bora bado ni tatizo kwa hii nchi

    Kumbe watu wanakula mitonyo yetu na sie tumekaa kimyaa tuu?
  4. JituMirabaMinne

    Tatizo la gari za Nissan kushtukashtuka(misfire) kati ya speed 40Km/h mpaka 60Km/h

    Shida hii ipo karibu kwenye kila gari ila kwenye Nissan Hali ni mbaya mno. mfano wa gari zenye hiyo shida ni Dualis, Xtrail T31, Note, Juke na Tiida. Gari inawaka vizuri, Ila ukianza kuitafuta 40kph ndio unaona hiyo shida hasa kama hujaikanyagia sana na hasa maeneo ya vilima, hata kama ni...
  5. lufungulo k

    Vifaranga vya kuku vimekufa vyote tatizo ni nini wengine hata vichwa hawana

    Nimeingia bandani na kukuta hali hiyo nimechanganyikiwa kabisa
  6. ndege JOHN

    Nini tatizo nchini kwetu mpaka waajira wapya wanawaza njia za upigaji hela ya serikali

    Aibu sana yaani kama vile takukuru haina makali maana hata waajiriwa wapya hawaogopi kabisa kufanya udanganyifu.michezo hii tunajua ipo kwa wakubwa huko ma senior waliozoea kazi ila cha kusikitisha mpaka mazungumzo ya vijana katika mataasisi ni namna ya kuwa katili ili kula hela ya umma.watoto...
  7. Mjukuu wa kigogo

    Kwani Kuna tatizo?

    Game lazima ichezwe!
  8. om acidic

    Tatizo la laini kuacha kusoma nikiwa naperuzi intaneti au nafanya matumizi mengine ya simu

    Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda...
  9. SAYVILLE

    Hatuoni tatizo kwa miradi ya Serikali kutokana na mawazo ya wawekezaji wa kigeni?

    Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
  10. babukijana

    X mwanamke na x mwanaume huwa wapi mna tatizo?

    Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,. Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi. Mi ndoa nilishakataa. Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi? Huku nna x wa mwisho nae anandai hela nyingi tu. Kwenda mahakamani kujitetea ni kila siku,ni mke wa ndoa kabisa...
  11. M

    Majipu yananiandama nini tatizo?

    Madaktari wa binadamu na watalaamu wote wa afya kwa ujumla mlioko humu ndani,naombeni ushauri wa tatizo langu linalo nisumbua kijana wenu. Miezi ya mwanzoni ya mwaka huu 2024 majipu yalitokea kunisumbua nikawa kila nikilitumbua linahamia kwingine hadi pale nilipostuka na kwenda kuchoma sindano...
  12. M

    VIONGOZI AINA YA MAGORI PALE SIMBA NI TATIZO LA KWANZA KWENYE MANAGEMENT, WANAZO AKILI ZA KIZAMANI NA MAMBO YA KIZAMANI!

    Niliwai kusema ya kuwa Simba inaongozwa na wazee ambao Awana Tena ubunifu wa kuipeleka timu mbele bali wamebakia na mawazo ya kizamani na akili za kizamani awabadiliki kulingana na wakati bali wamekwamia hapo walipo Awana vision yoyote ya kuivusha Simba! Viongozi awa wamekuwa wakicheza sana na...
  13. E

    Tatizo la kushindwa kupata Msimbo kutoka NACTE ili kusajiliwa chuoni, tusaidieni jinsi ya kutatua changamoto kama hii

    TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
  14. Surya

    Tatizo la kukosa hisia/msisimko wa Mapenzi.

    Nianze na Wanaume: Mfumo wa hisia za mapenzi na mchakato wa kusimama kwa uume ni mchakato changamani ambao unahusisha miitikio ya kihisia, kiakili, na ya kimwili. Yafuatayo ni maelezo ya hatua mbalimbali zinazopelekea kusimama kwa uume hadi kufanikisha tendo la ngono: 1. Kuvutiwa Kihisia...
  15. BLACK MOVEMENT

    Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  16. sam green

    Kulala na wanawake wa wili kwa mda mmoja nimekutana na tatizo kama hili

    Wana Jf leo nimelala na wana wake wawili kwa mda usio pishana dakika 20 Wa kwanza nilipo maliza zikapita dakika 20 akaja Mwengn lakn kila mmoja nime mwaga mara moja tu nimeshindwa kupanda round ya pili je, hizi ni dalili za upingufu wa nguvu za kiume
  17. Q

    Uume kupinda ni tatizo au kama ni tatizo msaada please

    Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
  18. R

    Tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo

    Wana-jamii wenzangu mimi nina tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo, ama kwenye korido ndefu isiokuwa na uingizaji wa hewa fresh kutoka nje. Aidha, nikipanda lift mara mlango unapofungwa hupata tabu sana ya kupumua, mara kadhaa hushindwa kuendelea na safari yangu ya floor ninayokwenda. Aidha...
  19. D

    Nionavyo, hakuna kinaitwa tatizo la afya ya akili bali ni umaskini wa kipato tu

    Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili. Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na...
  20. To yeye

    Singlemom kurudi kwa ex na asiye na mtoto kurudi kwa ex tatizo nini hapa wakuu

    Japo mi binafsi nadhani inasababishwa na kuingia kwenye mahusiano bila upendo....kuingia kwenye mahusiano kusitirika na siyo upendo ..... Maoni yenu tafadhali...maana mapenzi yamepoteza maana sikuhizi...🚮
Back
Top Bottom