Habari za asubuh wakuu, kama kichwa cha habari kina vyojieleza hapo juu.mimi ni BABA wa mtoto mmoja wa kike wa mwaka mmoja, mtoto amekuwa na tatizo la kunesa kichwa anapoangalia kitu kwa mara ya kwanza mfano akiangalia TV at the first look ananesa kichwa then anakaa sawa au akiangalia mtu,kitu...
Habari wakuu
MWEZI uliopita katika harakati zangu shambani nikajikata na panga maeneo ya goti nikawaishwa hospital wakanishona nyuzi Tano Hali ya kindonda inaendelea kuimarika ila bado gotiii halitaki kukunja
Halii hiii inanitesa sana je nichukue hatua Gani za kitabibu?
Habar wanajf.
Kutokana na matukio yanaoendelea katika nchi yetu hasa Kanda ya Ziwa, na kati imefanya niandike huu Uzi, kwamba Hawa watu sasa imekuwa shida.
Kwani wanachangia uvunjifu wa amana kwa kuua watu wazima na watoto wasio na hatia maskini ya Mungu, ni kuwa tiba asili ni utamaduni wetu...
Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao.
Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya kueleweshana badala ya kufokeana na kuoneshana umwamba mbele ya lay persons?
Kama sio frustrations...
Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada,
Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula chakula kingi. Pia inachukua muda mrefu hadi nianze kuhisi njaa. Naomba mwenye kujua hili tatizo...
Wanabodi,
Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
Tumekua tukikosoa Sana personality za viongozi Kila awamu,tukikemea ubadhirifu,rushwa na wizi wa Rasilimali zetu bila kujua tatizo kuu ni taasisi ya Dola ambayo inalinda utaifa,mipaka na vipaumbele vya taifa hili.
Kila kiongozi anaeingia anakua na vipaumbele binafsi badala ya vya taifa letu na...
kulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?
kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano...
Wakuu,
Hiki ndio ambacho kimefanyika leo huko Ngorongo!
Kwani alikuwa hana taarifa kuwa Wamasai wamepewa order ya kuhana? Kwani alikuwa hajui kuhusu wajomba zake wanaokuja kuwekeza? Alikuwa hajui kuhusu resistance iliyotokea huko wakitaka kuendelea kuishi katika ardhi hiyo waliyokuwa wakikaa...
🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu.
Kiukweli kunahaja wananchi...
Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema. Hii siyo diet ni ujinga. Na amedhoofu sana.
Hali ya “Kukoroma” hutokea kwa baadhi ya watu wakiwa wamelala.
Linaendelea kuwa tatizo kwa sababu linazidi kukua kwa kasi.
Kwa wale tuliosoma Shule za Bweni tunalijua vizuri hili tatizo.
Lakini hili tatizo pia lipo Nyumbani, kwenye mabasi, kazini na sehemu nyingine kama hizo.
Niliwahi pia...
Tatizo watanganyika wameisha jimilikisha jina na nchi ya Tanzania na wameuvaa Utanzania haswa kuliko Wazanzibar.
Wanadhani Wazanzibar ni Watanzania na wanajali hata kuhusu huo Utanzania na mambo yake.
Nyie watu hamfahamu namna lilivyo kubwa hili suala la Tanganyika na Zanzibar mnapo sikia...
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata?
Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili.
Nini kinasababisha yote haya?
Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu?
Au kulea ugonjwa...
Kuna ndugu zangu wasomi kabisa lakini walinishangaza. Nilihojo inakuwaje maji yanatoka machafu lakini wananchi hawalalamiki? Wakasema ni bora sisi tuna maji hayo machafu wenzetu hawana maji kabisa.
Wengine mnaweza msikielewe lakini hapo ndipo kuna tatizo kubwa. Hakuna sababu ya msingi ya kuwa...
Pia Kuna uwezo wa kutawala mazingira ya kazi, unaweza kutazama mazungumzo ya mwalimu na mwanafunzi mafunzo ya Android Development
https://youtu.be/ojcQVRNgPoE?si=QFmm1-mntjpXukxa
Wakuu..mimi ndugu yenu ninaombeni ushauri na msinichoke,muda huu ninavyoandika nikielezea hali inayonisibu sasa hivi na ni live sio kama naota.
Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kwa wachangiaji wa uzi wangu wa mrejesho uliopita kwa kuyafanyia kazi mawazo yao na miongozo yao walionipatia na...
Wanabodi
Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.