Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.
Naombeni msaada wataalamu
Imepita miaka mingi wilaya ya masasi imegubikwa na mambo ya hovyo hovyo na hayaondoki kila siku hujirudia na utadhani hakuna viongozi wanaopaswa kutatua kero hizo
1. Umeme, sidhani kama kuna wilaya ambayo inaongoza kwa kukatakata umeme kama masasi
2. Barabara zilizobomolewa kuacha bila...
Channel pekee ninayoipata yakulipia ni ESPN pekee lakini zingine zote zimekata zimebaki tu local channels wakati bado package iko active hadi mwisho wa mwezi
Siwezi sema ni tatizo la signal strength kwamba dish imeyumba wakati local channels zinapatikana pamoja na ESPN, kama ingekua ni tatizo...
Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu!
Israeli commander killed in Lebanon, Israel says
The Israeli military says an army squad commander has been killed in Lebanon.
It's the first combat...
Leo viwanda vimetangaza upandaji wa bei ya cement, sasa itauzwa kwa kati ya 18,000 hadi 18,500 kwa dar. Najiuliza viwanda tunavyo hapahapa tatizo lipo wapi? Wataalam mtusaidie..
👉Mara nyingi, "sheria" ambazo hazija andikwa (Un-Written Laws), ndio huwa zinakuwa zinafanya kazi katika uhalisia kuliko sheria ambazo zimeandikwa.
👉Mimi huziita sheria za asili ama kanuni za asili.
👉Kwa mfano moja kati ya kanuni ya asili yenye uhalisia kwa Asilimia zote, ni kanuni inayo...
Ni endapo itadhihirika kuwa aliwaingilia watoto under 18,
Vinginevyo P Diddy kesi yake ni ndogo sana
Majimbo mengi ya USA yameruhusu ushonga.
Wengi wanaohisiwa kupakwa mafuta ni wababa watu wazima ambao huenda walifurahia tendo na hawakulazimishwa..
Wazungu wanajua kutetea haki za ;
1...
Kikawaida mwanadamu anapokuwa anapitia changamoto Fulani katika maisha yake Ni lazima stress sitawale katika kichwa chake na mawazo ya kutaka kutatumia changamoto hiyo kwa haraka saana na Mara nyingi stress zinazidi kuwa nyingi pale Anapokuwa haoni matamaini ya kutatua changamoto zake
But...
Habari wanabodi
Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi.
Utafiti wangu nilioufanya kwa siku kadhaa kupitia mfumo wa mauzo ya tiketi na kuuhitimisha tarehe 25 Sept 2024, dakika 25 kabla...
Anonymous
Thread
nafasi
ni nini
sgr
tatizo
treni
treni ya sgr
ushahidi
wazi
zaidi ya
Kwa kiasi kikubwa umasikini unatoka na chain ya ufukara ambayo ipo kwenye familia au ukoo, kwa maana iyo umasikini wa mwanamke sio tatizo la boyfriend wake, ni tatizo lake binafsi na familia yake na wao ndio wenye wajibu wa kujiondoa katika umasikini huo.
Unakuta kiijana wa kiume anajibana...
kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume.
Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average.
Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
Habarini za jioni jf. Ni mara ya tatu naota napigana nashtuka nakuta mkono Unatoka damu baada ya kupiga ukuta. Nahofia nkioa nitampiga ntakae kuwa nmelala nae. Nifanye nn kuondokana na hili tatizo
🐍 Kila mwaka, karibu watu milioni 5.4 huumwa na nyoka duniani kote, na kusababisha zaidi ya vifo 800,000 na kuacha mara tatu ya idadi ya walionusurika wakiwa na ulemavu. Ugunduzi wa haraka wa dawa za kuua viini unaweza kuokoa maisha na kupunguza madhara ya kiafya ya muda mrefu. Ulemavu kutokana...
Tatizo la Tanzania ya sasa hakuna uwajibikaji watu wanakufa na kutekwa lakini viongozi wote wapo kazini kama vile hakuna baya limetokea. Hii inasibitisha viongozi wa siku hizi ni magenge ya marafiki na Machawa na ni vigumu kuwajibisha ndugu, marafiki, machawa wako hasa pale ambako wanaouliwa ni...
Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove
Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa Kishambenga hasa kushambulia wanaume ambao yeye Kwa tafsiri yake amekuwa akiwaita "MASIKINI"
Huyu...
Katika kipindi hiki kifupi kama miezi mitatu hadi sita, upepo wa kisiasa hausomeki. Matukio tunayoyaona mengine si tu siyo ya Kitanzania lakini yanakinzana na hata mila, utamaduni, umoja wetu kitaifa na hata imani yetu.
Mengine ni aibu hata kuyasema maana ni laana kwa Taifa letu. Viongozi kwa...
nawaombea kila la kheri wahusika na washiriki wa uchaguzi muhimu sana uliosalia kwa maendeleo ya ushindani wa ndani ya vyama vya siasa, na ustawi wa demokrasia nchini.
Mwenyezi Mungu awaepushe na kila hila na shari ilopangwa dhidi ya maisha ya mshiriki au muhusika yeyote kwenye masuala haya ya...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe.
Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
Wakuu,
Nauliza hivi: Je, viongozi wetu, watendaji na wakuu wa hitifaki za viongozi wanajua kuwa wananchi nao wana mipango, mahitaji na malengo yao yanayotegemea na kubanwa na MUDA (WAKATI)?? Je, wanajua kwamba misafara ya viongozi inawatia wananchi hasara?
Iweje wananchi wanasimamishwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.