mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Simba wangefunga goli la kwanza mapema sana kama si Mpanzu kukaa na mpira bila kutoa pasi hadi kikabuma!
Ina maana mwalimu huwa hamwambii?
Ina maana mwalimu huwa hamwambii?
Kocha ampe ultimatum kwamba aidha abadilike au aozee benchi!Mpanzu hawezi kubadilika, watu tumeimba wee, tumechoka, tumeamua kumuacha afanye anavyoona kwake inapendeza.
Ila anatugharimu sana yaani. Aaaah.
Hatarii tupu, aozee bench? Nani wa kumuweka?Kocha ampe ultimatum kwamba aidha abadilike au aozee benchi!
Mtu hata hajaanza kusukuma ushaanza kutoa milio!!Simba wangefunga goli la kwanza mapema sana kama si Mpanzu kukaa na mpira bila kutoa pasi hadi kikabuma!
Ina maana mwalimu huwa hamwambii?
Super Doumbia!Hatarii tupu, aozee bench? Nani wa kumuweka?
😂😂😂 hauko serious.Super Doumbia!
Mimi nashangaaga sana,sijui kocha haoni tatzi la ubinafsi wa Mpanzu,Simba wangefunga goli la kwanza mapema sana kama si Mpanzu kukaa na mpira bila kutoa pasi hadi kikabuma!
Ina maana mwalimu huwa hamwambii?
Mmeanza kulaumianaSimba wangefunga goli la kwanza mapema sana kama si Mpanzu kukaa na mpira bila kutoa pasi hadi kikabuma!
Ina maana mwalimu huwa hamwambii?
Sifa anapewa aliyedunga bila kujali aliyempasia anafunga mwisho wa siku mtu akipata Mpira anakaa naoMimi ni mpenzi wa simba lia lia lakini walichokifanya Yanga nawapongeza!! Wamefunga wakiwa na utulivu wa hali ya juu! Utulivu huo ungekuwa kwa Simba mambo yangekuwa tofauti kabisa!! Inaniuma. Mwenye namba ya Mpanzu anifikishie ujumbe kwake kuwa AKOME UCHOYO NA UBINAFSI. Asitafute sifa yake binafsi bali sifa ya SIMBA!!
Hatulaumiani, tunamlaumu Mpanzu!Mmeanza kulaumiana
Mrembo, upumzike sasa. Hizi timu zitakuja kuua siku moja, yaani haupoiMpanzu hawezi kubadilika, watu tumeimba wee, tumechoka, tumeamua kumuacha afanye anavyoona kwake inapendeza.
Ila anatugharimu sana yaani. Aaaah.
Em kwenda huko na weweee.Mrembo, upumzike sasa. Hizi timu zitakuja kuua siku moja, yaani haupoi
😅 kunywa hata glass moja ya maji kwanza utulize pressure, sukari itapanda hiyoEm kwenda huko na weweee.