Tukubaliane ndugu zangu Noise Pollution ni tatizo sugu ndani ya nchi yetu.

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
46,405
Reaction score
138,158
Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:

1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.

2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada. Sauti hizi huambatana na mafundisho/mahuburi/maombi nk ambayo kwa mtu asiyehusika nayo hugeuka kuwa kelele.

3. Sauti ya juu ya muziki unaopigwa kwenye baadhi ya nyumba za ibada usiku kucha. Kwa watu ambao hawafungamani na imani husika, muziki huo kwao ni kelele.

4. Sauti za muziki kutoka kwenye kumbi za starehe au bar ambazo zipo jirani kabisa na makazi ya watu. Sauti ya muziki huo kwa watu wasio husika, ni kelele na kero kubwa.

5. Upasuaji wa miamba mikubwa kwa kutumia baruti, nk.

Nini kifanyike?
1. Mamlaka husika (Serikali na NEMC) wachukue hatua madhubuti kudhibiti hii hali kwa sababu inasababisha baadhi ya watu kukosa usingizi nyakati za usiku na alfajiri kupatwa na msongo wa mawazo, kukosa utulivu, nk.

2. Wasababisha Noise Pollution (sijawataja kwa majina/taasisi zao) wote wanatakiwa kubadilika. Dunia ya leo ni tofauti na ile ya zamani. Ninawaomba muheshimu haki zetu za msingi. Na mkumbuke ibada/starehe/burudani zenu kwa watu wengine ni kero! Ni bughudha! Ni kelele!

Mna uwezo wa kutumia njia mbadala kupunguza hizi kelele! mfano kutumia sound proof kwenye majengo yenu ya starehe na ibada. Mnaweza kutumia alarm badala ya vipaza sauti, nk.
 
Hoja yako ina msingi, ndugu. Noise pollution ni tatizo ambalo mara nyingi tunalichukulia kama jambo dogo, wakati linaweza kuathiri utulivu na haki ya watu wengine kutumia mazingira yao kwa amani.

Lakini nadhani suluhisho lisije kwa kulenga nyumba za ibada au kumbi za starehe pekee. Liwe na kipimo kimoja kwa wote: kama kiwango cha sauti kinawasumbua majirani au kinakiuka taratibu zilizowekwa, basi hatua zichukuliwe bila kujali chanzo chake ni nini.

Uhuru wa mtu kufanya ibada, biashara au burudani haupaswi kumaanisha kuvuruga haki ya mwingine ya kupata usingizi na utulivu. Hapo ndipo uwiano unahitajika.

Tate Mkuu
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:

1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.

2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada. Sauti hizi huambatana na mafundisho/mahuburi/maombi nk ambayo kwa mtu asiyehusika nayo hugeuka kuwa kelele.

3. Sauti ya juu ya muziki unaopigwa kwenye baadhi ya nyumba za ibada usiku kucha. Kwa watu ambao hawafungamani na imani husika, muziki huo kwao ni kelele.

4. Sauti za muziki kutoka kwenye kumbi za starehe au bar ambazo zipo jirani kabisa na makazi ya watu. Sauti ya muziki huo kwa watu wasio husika, ni kelele na kero kubwa.

5. Upasuaji wa miamba mikubwa kwa kutumia baruti, nk.

Nini kifanyike?
1. Mamlaka husika (Serikali na NEMC) wachukue hatua madhubuti kudhibiti hii hali kwa sababu inasababisha baadhi ya watu kukosa usingizi nyakati za usiku na alfajiri kupatwa na msongo wa mawazo, kukosa utulivu, nk.

2. Wasababisha Noise Pollution (sijawataja kwa majina/taasisi zao) wote wanatakiwa kubadilika. Dunia ya leo ni tofauti na ile ya zamani. Ninawaomba muheshimu haki zetu za msingi. Na mkumbuke ibada/starehe/burudani zenu kwa watu wengine ni kero! Ni bughudha! Ni kelele!

Mna uwezo wa kutumia njia mbadala kupunguza hizi kelele! mfano kutumia sound proof kwenye majengo yenu ya starehe na ibada. Mnaweza kutumia alarm badala ya vipaza sauti, nk.
Electric cars ndio solution,wenye mpango wa kununua magari wafikirie magari ya umeme sasa
 
Nenda Temeke, karume, Kariakoo, mbagala, Tandika, G'mboto na Mbezi ukirudi Nyumbani Ngoma ya sikio ikiwa nzima nite Mbwa🤣🤣🤣
 
Hujataja majina ya taasisi ila hizi za dini nadhani ndio kero zaidi.
Bora uislamu kuliko walokole, achana na dua imezidi sana nusu saa , kuliko mikesha ya walokole usiku kucha.

Boda boda nao kwa miziki yao ya singeli nao ni tatizo jingine.
 
Hawafanyi kitu hawa maana unakuta hata matangazo yao ya mikutano au hata mwenge
Speaker kubwa kama Land Rover halafu sehemu zingine wanapita mpaka saa tatu za usiku

Kwa hiyo suala hili wao wenyewe wanalitila mkazo sijui kwanini kelele ndio sifa yetu moja Waafrika?

Nenda nchi nyingi Africa ni kelele tu
Angalia usafiri pia yale yale
 
Binafsi nina uadui mkubwa na noise pollution ya aina yoyote ile. Kwa kweli napenda sana kuishi mazingira tulivu.
 
Mimi pia Mkuu
Kelele siwezi kabisa
Hebu fikiria umeingia kwenye Bus halafu safari ya masaa, mziki unawekwa kwa sauti
Wenzetu walio staarabika mpaka kwenye mabasi na trains wameandika keep noise down yaani hata usingizi unapita

Sheria zipo ila nani wa kuzifuatilia
Kuna wadau Wengine huwa wanaona sawa na hata kukubali kuwepo kwa kelele
 
Ukitaka kupima madhara ya noice pollution kwa wabongo wengi,
Angalia pale wanapoongea,hua wanaongea kwa sauti ya juu sana na hua ni kama vile wanafoka tu!

Mtu kuongea kwa sauti ya juu ina maana kua amepoteza ule uwezo wake wa kusikia,so anaongea kwa sauti ya juu ili ajisikie yeye mwenyewe kwanza amesema nini wakati anapoongea na mtu mwingine,

Ni ngumu sana kumuaminisha mtu wa kawaida kua noice pollution ni tatizo mpaka pale atakapo pata bahati ya kusafiri nje na kuona jinsi watu wanavyo thamini ukimya kwa afya ya mwili na akili.
 
Mwanzo ilikua nikitoka kazini kkoo nilikua nasikia nyenze masikioni maana tangu mchina alete vile vi spika aiseee kkooo basi kazi ikaanza hapo
 
Kuna namna watu tuanaokaa kwenye kelele nyingi akili zetu kama haziko sawa yani tumezizoea kelele hadi tumekuwa kelele zenyewe sasa.

Kwenye maeneo tulivu hatuwezi kukaa lazima tutakuwa chanzo cha kelele eidha tubebe vispika au midomo yetu.
 
Hawa wa Ibada, bodaboda na sherehe uchwara za uswahilini nakazia, koleza wino.
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:

1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.

2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada. Sauti hizi huambatana na mafundisho/mahuburi/maombi nk ambayo kwa mtu asiyehusika nayo hugeuka kuwa kelele.

3. Sauti ya juu ya muziki unaopigwa kwenye baadhi ya nyumba za ibada usiku kucha. Kwa watu ambao hawafungamani na imani husika, muziki huo kwao ni kelele.

4. Sauti za muziki kutoka kwenye kumbi za starehe au bar ambazo zipo jirani kabisa na makazi ya watu. Sauti ya muziki huo kwa watu wasio husika, ni kelele na kero kubwa.

5. Upasuaji wa miamba mikubwa kwa kutumia baruti, nk.

Nini kifanyike?
1. Mamlaka husika (Serikali na NEMC) wachukue hatua madhubuti kudhibiti hii hali kwa sababu inasababisha baadhi ya watu kukosa usingizi nyakati za usiku na alfajiri kupatwa na msongo wa mawazo, kukosa utulivu, nk.

2. Wasababisha Noise Pollution (sijawataja kwa majina/taasisi zao) wote wanatakiwa kubadilika. Dunia ya leo ni tofauti na ile ya zamani. Ninawaomba muheshimu haki zetu za msingi. Na mkumbuke ibada/starehe/burudani zenu kwa watu wengine ni kero! Ni bughudha! Ni kelele!

Mna uwezo wa kutumia njia mbadala kupunguza hizi kelele! mfano kutumia sound proof kwenye majengo yenu ya starehe na ibada. Mnaweza kutumia alarm badala ya vipaza sauti, nk.
110% mdau!
 
6. Vijana washabikiaji Magari na Malumbano ya timu za mpira: Vijana huwa manapiga miluzi mikali likipita gari fulani esp. Mabasi ya abiria huku wengine hukusanyika na kubishana kwa sauti kubwa kuzijua Timu za mapira na visababishi vya matokeo ya mchezo uliopita. Makelele sauti kubwa hizo huambatana/huchanganyika na lugha ya matusi bila kujali watu waliopo mahali hapo.

Back
Top Bottom