A
Anonymous
Guest
Kwa takribani miaka mitano sasa, tembo wamekuwa wakiingia katika mashamba ya wakulima wa Liwale na kuharibu mazao, ikiwemo mikorosho.
Je, mamlaka zimeshindwa kudhibiti tatizo hili, zinafanya makusudi, au hazina uwezo wa kulitatua? Mpaka lini wakulima tutaendelea kupoteza mazao na kuhatarisha maisha yetu?
Tunaomba Fichua Uovu isaidie kulifikisha suala hili kwa mamlaka husika ili hatua madhubuti zichukuliwe. Inabidi hatua za muda mrefu zichukuliwe kwani tunaoteseka ni Wananchi wa hali ya chini.