sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,332
- 4,822
Kadri siku zinavyoenda sehemu ya kiungo ya Yanga inazidi kuwa exposed.
Ni tatizo kubwa la msimu huu na ndio tatizo litafanya tuishie makundi kwenye champions league endapo titafuzu.
Muda, Ngoma, Abuya sio viungo wa kutupeleka popote. Mbaya zaidi wakichemka ndio hakuna kabisa replacement yao kumejaa magalasa mpaka sub.
Tutalaumu kocha na tutamfukuza lakini ilo ndio tatizo letu ukitazama kuanzia mechi na jamaa wa Botswana mpaka league.