cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ndioooo, Ndiooooo.Na kunyonga
Ndioooo, Ndiooooo.Na kunyonga
Majiraniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hukuuuuuuuuuuuuuuuuuHata kabla ya Duke kutoka tulishaanza kutepeta
Team yetu Max na Muda wakiwa na siku mbaya tu basi team nzima inavurugika
Hatuna Mawinga
Kangwanda Takataka bora hata awe anaanza Chuga tu yaani winga wa kimataifa 1 v 1 mara 10 hawin hata Mara moja
Zakuoani naye hajitambui, kocha naye hajitambui
Eng Hersi naye ameanza kuwa kiazi , janja janja nyingi kwenye sajili hasa nilipowasikia kuwa wamemuuza Okello halafu ile hela iliyopatikana wameongezea kidogo ili wampate Aziz Ki ni ujinga wa kiwango cha lami
Kufungwa na bado unapigiwa mpira mwingi ni dharau kubwa mno, team inashindwa kukaa na mpira hata kwa dakika moja
Mto umemwagiwa mtunungu. Vyura wana haha.vyura mnarukaruka kama mmemwagiwa maji ya moto
Watu weuweeeeeeeeeeeeeeeeeee!!Dakika ya 50 tayari anawaambia wachezaji wajilinde
Lazima wachoke tu hapo kwa kupelekewa moto mule hakuna kocha
Leo mtasema wenyeweeee, km Arajiga ni Utopolooooooooo.Kangwanda mapema sana tena ni busara za Refaree kuna mda alimkosa buti la ugoko Chama lingemkuta lile lingekuwa red card moja kwa moja mana alishakuwa na njano tayari
Shida ni namna team coach anawapanga mawinga wake anafanya wasionekane hatari pia anafanya mabeki wake wasioverlapp
Nishaandikaga uzi humu kuhusu hili, yaani full back unawekewa Mligo unatepeta vileee je wakikutana na kina Mohamed Hany huko itakuwaje
😂😂😂😂😂 mie mnanipaa rahaaa mnavyobwata hivyooooo.Sub za manikoba zilikuwa za hovyo Sana, Una mwingiza mzize akafanye nn! Udhalilishaje ule hatutaki kuuona tena
Hakuwa mchezoni kabisa jana bora mwenzie zokouani na bora angebaki yeye kuliko kangwanda.Kangwanda mapema sana tena ni busara za Refaree kuna mda alimkosa buti la ugoko Chama lingemkuta lile lingekuwa red card moja kwa moja mana alishakuwa na njano tayari
Shida ni namna team coach anawapanga mawinga wake anafanya wasionekane hatari pia anafanya mabeki wake wasioverlapp
Nishaandikaga uzi humu kuhusu hili, yaani full back unawekewa Mligo unatepeta vileee je wakikutana na kina Mohamed Hany huko itakuwaje
Shida Wala sio wachezaji wenu Bali ni mfumo wa uchezaji wa kocha wenu hao wachezaji mlionao mkampa Gamond utaona utofautiHata kabla ya Duke kutoka tulishaanza kutepeta
Team yetu Max na Muda wakiwa na siku mbaya tu basi team nzima inavurugika
Hatuna Mawinga
Kangwanda Takataka bora hata awe anaanza Chuga tu yaani winga wa kimataifa 1 v 1 mara 10 hawin hata Mara moja
Zakuoani naye hajitambui, kocha naye hajitambui
Eng Hersi naye ameanza kuwa kiazi , janja janja nyingi kwenye sajili hasa nilipowasikia kuwa wamemuuza Okello halafu ile hela iliyopatikana wameongezea kidogo ili wampate Aziz Ki ni ujinga wa kiwango cha lami
Kufungwa na bado unapigiwa mpira mwingi ni dharau kubwa mno, team inashindwa kukaa na mpira hata kwa dakika moja
Kagandwa ni mchezaji mzuri ila Jana alichoka hivi unadhani kuzuia muda mwingi wa mchezo ni kazi nyepesiBora hussein alikuwa vizuri kuliko kangwanda alikuwa hovyo jana
Halafu kuna kitu nimegundua yao alipewa mzigo mkubwa upande wake sana lengo asipande ila kocha hakuwa na solution ya hilo
Ndio alichoka kwanzia dakika ya 60 wachezaji walikuwa hoi yaani dakika zote wanazuia tu unadhani mchezo nini?Kagandwa ni mchezaji mzuri ila Jana alichoka hivi unadhani kuzuia muda mwingi wa mchezo ni kazi nyepesi
Wewe ulilaumu yeye kuwa ovyo jana but kwa asimilia 💯 kocha wenu kuwafanya wachezaji wenu karibia wote wawe ovyo kwa mfumo wake mbovu hamkuwa Bora as a team so kutoa lawama kwa wachezaji wenu mnakoseaNdio alichoka kwanzia dakika ya 60 wachezaji walikuwa hoi yaani dakika zote wanazuia tu unadhani mchezo nini?
Ingawa hakuna sehemu nimesema ni mbaya mzee
Dakika za mwanzoni tu before asssit yake jamaa alishapoteza mipira zaidi ya mitano one vs one kwahiyo hakuwa kangwanda yule wa ngao ya jamii. Alikuwa ruthless. Sharp and direct sana wa jana tangu mwanzo hakuwa sawa sana lazima tuseme hiloWewe ulilaumu yeye kuwa ovyo jana but kwa asimilia 💯 kocha wenu kuwafanya wachezaji wenu karibia wote wawe ovyo kwa mfumo wake mbovu hamkuwa Bora as a team so kutoa lawama kwa wachezaji wenu mnakosea
Kukiwa hakuna supply ya mipira na flow nzima ya team vitu kama hivyo lazima vitokeeDakika za mwanzoni tu before asssit yake jamaa alishapoteza mipira zaidi ya mitano one vs one kwahiyo hakuwa kangwanda yule wa ngao ya jamii. Alikuwa ruthless. Sharp and direct sana wa jana tangu mwanzo hakuwa sawa sana lazima tuseme hilo
Anayecheka mwishoni ndo anacheka sana ujue 😁😁😁Leo mtasema wenyeweeee, km Arajiga ni Utopolooooooooo.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hiyo linii hiyo?????? 😂😂😂😂Anayecheka mwishoni ndo anacheka sana ujue 😁😁😁
Kwani Max sio YangaYanga wameishi sana bahati hii kwa muda mrefu, na wangeshinda leo ungeona wana relax kabisa na vijembe juu, lkn Yanga wakubali tangu aondoje aucho pale kati walishapwaya muda! max tu juhudi zake binafsi huwa zinawafichia aibu
Mnategemea mtu mmoja na ulozi na kumhonga araj boy jana kajaribu kuwabeba lakini wapi timu haisogei hata kati muda wote wanashughulikiwa waoKwani Max sio Yanga
Siyo kweli Yanga ilikuwa na siku mbaya tu. Hata kabla ya Abuya kutolewa timu ilikuwa inacheza vibaya.Kadri siku zinavyoenda sehemu ya kiungo ya Yanga inazidi kuwa exposed.
Ni tatizo kubwa la msimu huu na ndio tatizo litafanya tuishie makundi kwenye champions league endapo titafuzu.
Muda, Ngoma, Abuya sio viungo wa kutupeleka popote. Mbaya zaidi wakichemka ndio hakuna kabisa replacement yao kumejaa magalasa mpaka sub.
Tutalaumu kocha na tutamfukuza lakini ilo ndio tatizo letu ukitazama kuanzia mechi na jamaa wa Botswana mpaka league.
Mbona Duke alipokuwepo team ilienda vizuri mpaka alipoumia? Duke ni namba 8 lakini hapo 6 anacheza tu?
Kete ni kocha aliikosea mwenyewe tuache kuzusha bwana sub zake ndio ziliua game