bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,880
- 24,933
Wewe kama sio shoga basi msagajiMnategemea mtu mmoja na ulozi na kumhonga araj boy jana kajaribu kuwabeba lakini wapi timu haisogei hata kati muda wote wanashughulikiwa wao
Wewe kama sio shoga basi msagajiMnategemea mtu mmoja na ulozi na kumhonga araj boy jana kajaribu kuwabeba lakini wapi timu haisogei hata kati muda wote wanashughulikiwa wao
Shoga nitakuwa mimi? Uache kuwa wewe?Wewe kama sio shoga basi msagaji
Huu ni ukweli mchungu. Hadi muda huu Yanga imekosa kiuongo aina Khalid Aucho. Mwamba alipokuwa kwenye ubora wake aliituliza sana timu.Kiungo ilikufa kabisa baada ya Duke kutoka.
Yule aliyechukua nafasi yake yupo slow sana kuendana na kasi ya mchezo.
Kuondoka kwa Khalid Aucho kumeacha pengo kubwa.