Shida kocha wenu anaamini kwenye kukimbia sana Uwanjani ndio mpira ndio maana anawachosha sana wachezaji wenu wanaonekana hawana maanaMbona Duke alipokuwepo team ilienda vizuri mpaka alipoumia? Duke ni namba 8 lakini hapo 6 anacheza tu?
Kete ni kocha aliikosea mwenyewe tuache kuzusha bwana sub zake ndio ziliua game
Aina ya uchezaji wa kocha unachangia yeye anaamini kwenye kukimbia sana kuliko kucontrol game ndio maana wachezaji wanachoka sanaPale kati injinia kajaza magalasa matupu wanazidiana uafadhali tu
Na kunyongaSisi tunabonda tu🤣🤣🤣🤣🤣
Tulia wewe Kolo 😃vyura mnarukaruka kama mmemwagiwa maji ya moto
Dakika ya 50 tayari anawaambia wachezaji wajilindeShida kocha wenu anaamini kwenye kukimbia sana Uwanjani ndio mpira ndio maana anawachosha sana wachezaji wenu wanaonekana hawana maana
Bora hussein alikuwa vizuri kuliko kangwanda alikuwa hovyo janaHata kabla ya Duke kutoka tulishaanza kutepeta
Team yetu Max na Muda wakiwa na siku mbaya tu basi team nzima inavurugika
Hatuna Mawinga
Kangwanda Takataka bora hata awe anaanza Chuga tu yaani winga wa kimataifa 1 v 1 mara 10 hawin hata Mara moja
Zakuoani naye hajitambui, kocha naye hajitambui
Eng Hersi naye ameanza kuwa kiazi , janja janja nyingi kwenye sajili hasa nilipowasikia kuwa wamemuuza Okello halafu ile hela iliyopatikana wameongezea kidogo ili wampate Aziz Ki ni ujinga wa kiwango cha lami
Kufungwa na bado unapigiwa mpira mwingi ni dharau kubwa mno, team inashindwa kukaa na mpira hata kwa dakika moja
Kangwanda mapema sana tena ni busara za Refaree kuna mda alimkosa buti la ugoko Chama lingemkuta lile lingekuwa red card moja kwa moja mana alishakuwa na njano tayariBora hussein alikuwa vizuri kuliko kangwanda alikuwa hovyo jana
Halafu kuna kitu nimegundua yao alipewa mzigo mkubwa upande wake sana lengo asipande ila kocha hakuwa na solution ya hilo
Hili nalo lilinishangaza sana hawa makocha wetu akili sijui wanapelekaga wapi 😃😃😃Sub za manikoba zilikuwa za hovyo Sana, Una mwingiza mzize akafanye nn! Udhalilishaje ule hatutaki kuuona tena
Mie napentaaaaaaaaaaaaaaaaa!!Nafurahi utopolo mkigombana😃😃😃😃😃🐸🐸🐸🐸
Baelezeeeeeeeee, Baelezeeeeeee.Timu Bora mnaishia Makundi CAF:
Mnawaza kuishusha Simba kwenye ranking wakati mnashindwa kuchukua nafasi yake:
Mnafanya juu chini kuiporomosha Simba kwenye CAF Ranking mkiwa huko huko chini:.
Yaani tudhalilike wote:.
Yanga kama sio viongozi wa Nchi kuwabeba msingekuwa hapo mlipo:
Hadi Marefa mnawachagua nyinyi
Mie napentaaaaaaaaaaaaa.Nyumba inayovuja utaijua masika!
Magalasa yote mnayataja wenyewe leo.😀