vijana

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunachunguza Vijana Jamii ya Kimasai kuvamia wenzao wa Jamii ya Kimasai eneo la Kimnyaki - Arumeru

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio lililotokea tarehe 03.11.2026 muda wa asubuhi baada ya kundi la vijana jamii ya Kimasai kudaiwa kuvamia maboma ya jamii nyingine ya Kimasai na kuchukua mifugo huko katika Kijiji cha Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kimsingi Godbless Lema hana ushawishi, hata apumzike yeye na Mbowe wahame wote Vijana hawawategemei

    Hamjambo wote! Lema anahaki ya kuongea atakachoongea. Kulingana na maoni yake yanayoendeshwa na uelewa wake, maslahi yake na na muono wake. Hiyo ni haki yake. Lakini Lema atafanya Kosa la kiufundi ikiwa atadhani anaushawishi ndani ya CHADEMA. Huo ushawishi hana. LEMA ajue Chadema ndio...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Inawezekana labda kutoelewa lilie somo la mabikra 72 na mito ya pombe ndio inapelekea vijana wengi kujiunga na vikundi vya upiganaji bila hofu ya kifo

    Tusome maandiko kwa mantiki.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kampala: Leo kati ya Vijana kumi, sita wamelegea. Vijana wetu tumewaacha

    Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga Kampala, wakati akichangia hoja bungeni jana Oktoba 30, 2026, amesisitiza kuwa ili nchi iweze kutekeleza mipango yake ya maendeleo kwa mafanikio, inapaswa kuwekeza kwa dhati na kulinda nguvu kazi ya vijana ambao ndio asilimia 70 ya wananchi wote wa Tanzania...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu Nchemba tuangalie mustakabali wa vijana wetu

    ▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana ▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo▪︎ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Afrika kwa umoja wao waangalie mustakabali wa vijana wa bara hilo kwa vile wana uwezo mkubwa licha ya...
  8. Dronephonex

    JamiiForums Tanzania Vijana tukajiajiri afu tunalala selo

    “NIKAE KUWA MWIZI? NIMEJARIBU KUJIAJIRI, LAKINI BADO NAKAMATWA NA JIJI!” — KIJANA ALALAMIKIA KUKAMATWA KWA KUFANYA BIASHARA Kijana mmoja ameeleza masikitiko yake baada ya kukamatwa na askari wa Jiji kwa madai ya kufanya biashara, akisema amekuwa akijitahidi kujitafutia riziki kwa njia halali...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hali ya kuchanganyokiwa inavyomaliza vijana wengi nchini

    Hali ya kuchanganyikiwa au kuwa na mkazo mkubwa wa kisaikolojia (stress/confusion) huathiri mfumo mzima wa ubongo, hasa maeneo yanayohusika na kufikiri, kufanya maamuzi, na kudhibiti hisia. Tunapozungumzia ubongo wa mtu aliyechanganyikiwa au aliyefikishwa katika kiwango cha ugumu mkubwa wa...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashuhudia nguvu ya vijana

    ◇Ni inayotokana na msisitizo wa uteuzi wa wasaidizi wake ◇Ndejembi akomaa kila fursa inayojitokeza, wasikosekane ◇Alianza na mafunzo kwa vitendo, kampuni zao, sasa kwenye gesi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ndio maana Muumba wetu akatupa muongozo (Katiba) tuufate dunia nzima ili kuepusha haya yanatokea duniani

    Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze. Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla. Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
  12. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha ni wajanja sana wakiwa kwao ila wakitoka nje ya mkoa wao wanakua kama kondoo

    hawa vijana ukiwakuta kwao ni wajanja wajanja sana na ubabe mwingi ila ukikutana nao sehemu tofauti na asili yao ni underdogs wa kutupwa aisee. ukikutana nao shule au chuo hata mtaani unakuta wana kampani ya peke yao full kufuatana kama kumbikumbi. nyie machalii hasa wameru na nyie mnaojiita...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

    "Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi. Ni msemo unaolenga kutukumbusha kama vijana na jamii nzima kwa ujumla, hususani katika siasa kutoleta fujo, kutokuchochea...
  14. adriz

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Facebook wanaonekana Low IQ na TikTok ni Vijana wa ovyo? Je, mitandao inaakisi akili ya mtu?

    Moja kwa moja.. Kumekuwa na kasumba bongo ya mitizamo hasi juu watu wa Facebook na TikTok tofauti na mitandao mingine , mfano hapa Jf miaka ya nyuma ukiPost kitu ambacho kinaonekana cha hovyo ua ukiwa dhaifu katika hoja utasikia kauli kama ; 1. Rudi Fesibuku 2. Peleka utotoni wako Fesibuku...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya - Waziri Mkuu Nchemba

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya chakula. Na zaidi ya yote, tuwekeze katika uwezo wa kilimo barani Afrika. Kwa kweli, kabla ya njaa haijatushinda, tuchukue hatua, tuwekeze na tuvumbue pamoja. Tujenge...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya wakumbatia Sikukuu ya Mwezi ya China huku uhusiano wa kitamaduni ukikua

    Akiitwa jukwaani katika asubuhi ya baridi, John Mark, kijana mwenye umri wa miaka 19 anayesoma lugha ya Kichina kama somo la ziada, aliwavutia sana waliohudhuria kwenye Sikukuu ya Mwezi iliyoandaliwa na Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Uwezo wake mkubwa wa kutawala jukwaa...
  18. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania TCU NA VIJANA WA AVN NACTE

    Wanafunzi wengi wa diploma wamekosa nafasi za vyuo vikuu mwaka huu kwasababu ya kuchelewa kupata AVN namba kutoka NACTE. Kosa sio Lao. Dirisha la tatu limefungwa ndo AVN namba zinatoka. TCU inagoma kuwasaidia. Kwanini wasisaidiwe vijana hawa? Kama vyuo vipo tayari kuwapokea, kwanini TCU inakataa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchunguzi ufanyike Askari wanatumia Mgambo kubambikia kesi vijana Mtaa wa Charambe Magengeni (Dar)

    Hapa Charambe Magengeni kuna baadhi ya Askari Polisi wa Kituo cha Maturubai wanaodaiwa kushirikiana na mgambo kuwakamata vijana wa mtaa wetu na kuwabambikia kesi. Inadaiwa kuwa vijana wasipotoa pesa, hufungwa pingu na kupelekwa Kituo cha Maturubai. Baada ya kufikishwa kituoni, baadhi ya askari...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Licha ya kwamba vijana wanaaswa kulinda migongo yao, wengi wao wanainadi migongo yao kwa bei sawa na bure.

    Hali ni mbaàaaaayaaa
Back
Top Bottom