Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi zenye waislam wengi na wao wametumbikia katika mtazamo wa kimagharibi wa kupenda kuwatawala wengine na mali zao, hatimae nchi zao zimeingizwa ktk mtafaruku wenyewe kwa wenyewe.
Kwanini Quran ndio muongozo sahihi?
Allah anasema: “Wala kuchukiana na watu fulani kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na uchamungu.” (Qur’an 5:8).
Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Allah, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu.” (Qur’an 4:135)
Funzo: Usifiche ukweli ili kumlinda ndugu, rafiki, kiongozi au mtu unayempenda.
Na mnapohukumu baina ya watu, mhukumu kwa uadilifu.” (Qur’an 4:58)
Funzo: Viongozi, mahakimu na wenye mamlaka wanapaswa kuhukumu kwa haki, si kwa rushwa, ukaribu au maslahi binafsi.
Mtume amesema.
Kilichowaangamiza watu waliokuwa kabla yenu ni kwamba mtu mwenye heshima miongoni mwao akiiba, humwacha; lakini mtu dhaifu akiiba, humtekelezea adhabu.”
Mtume ﷺ alieleza hivyo aliposisitiza kuwa sheria haipaswi kupindishwa kwa sababu ya hadhi ya mtu.
Chanzo: Sahih al-Bukhari, 3475; Sahih Muslim, 1688.
Funzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
BILA YA KUTUMIA QURAN KAMA NDIO KATIBA YETU DUNIANI, BASI TUTEGEMEE HAYA YANAYOTOKEA DUNIANI YATAZIDI.