Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
waislam bhana kwa kujipa moyo mko vizuri
Mzee makoti niulize tafadhali kama wewe sio mgalatia wewe ni nani?Mwambie ili galatia lenzio Tate Mkuu
Katiba ya Kuzimu kule anapoendaga kukutana na Shetani mwenyeweSamia na kundi lake anateka, anatesa, anapoteza na kuuwa kwa kufuata katiba gani?
Maadui wakubwa wa HAKI DUNIANI NI WAISLAMU NDIYO MAANA NI NGUMU MUISLAMU KUMKEMEA MUISLAMU MWENZAKE PASIPO UNAFIKI ... MF KULE ZANZIBAR. WASIO WAISLAMU WANALAZIMISHWA KUTOKULA KWA KISINGIZIO CHA WAISLAMU KUFUNGA HII NI WAZI WANACHO KIFANYA NI KINYUME NA ALICHO FANYA MUHAMMAD JE UMEWAHI KUSIKIA SHEKH YOYOTE AKIKEKEA KUWA SIYO SAWA KULAZIMISHA KUTOKULA WASIO WAISLAMU...JE WAKATI NYINYI MLIOFUNGA MNAPOKULA DAKU SAA 10 HADI SAA 11 USIKU , WASIO WAISLAMU NAO WANAKULA HIYO DAKU ? KAMA JIBU NI HAPANA WASIO WAISLAMU AWALAGI DAKU USIKU . VP WALAZIMISHWE KUTOKULA.Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi zenye waislam wengi na wao wametumbikia katika mtazamo wa kimagharibi wa kupenda kuwatawala wengine na mali zao, hatimae nchi zao zimeingizwa ktk mtafaruku wenyewe kwa wenyewe.
Kwanini Quran ndio muongozo sahihi?
Allah anasema: “Wala kuchukiana na watu fulani kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na uchamungu.” (Qur’an 5:8).
Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Allah, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu.” (Qur’an 4:135)
Funzo: Usifiche ukweli ili kumlinda ndugu, rafiki, kiongozi au mtu unayempenda.
Na mnapohukumu baina ya watu, mhukumu kwa uadilifu.” (Qur’an 4:58)
Funzo: Viongozi, mahakimu na wenye mamlaka wanapaswa kuhukumu kwa haki, si kwa rushwa, ukaribu au maslahi binafsi.
Mtume amesema.
Kilichowaangamiza watu waliokuwa kabla yenu ni kwamba mtu mwenye heshima miongoni mwao akiiba, humwacha; lakini mtu dhaifu akiiba, humtekelezea adhabu.”
Mtume ﷺ alieleza hivyo aliposisitiza kuwa sheria haipaswi kupindishwa kwa sababu ya hadhi ya mtu.
Chanzo: Sahih al-Bukhari, 3475; Sahih Muslim, 1688.
Funzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
Hicho kitabu sio Cha mwenyezi Mungu, dhibitisha.Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi zenye waislam wengi na wao wametumbikia katika mtazamo wa kimagharibi wa kupenda kuwatawala wengine na mali zao, hatimae nchi zao zimeingizwa ktk mtafaruku wenyewe kwa wenyewe.
Kwanini Quran ndio muongozo sahihi?
Allah anasema: “Wala kuchukiana na watu fulani kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na uchamungu.” (Qur’an 5:8).
Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Allah, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu.” (Qur’an 4:135)
Funzo: Usifiche ukweli ili kumlinda ndugu, rafiki, kiongozi au mtu unayempenda.
Na mnapohukumu baina ya watu, mhukumu kwa uadilifu.” (Qur’an 4:58)
Funzo: Viongozi, mahakimu na wenye mamlaka wanapaswa kuhukumu kwa haki, si kwa rushwa, ukaribu au maslahi binafsi.
Mtume amesema.
Kilichowaangamiza watu waliokuwa kabla yenu ni kwamba mtu mwenye heshima miongoni mwao akiiba, humwacha; lakini mtu dhaifu akiiba, humtekelezea adhabu.”
Mtume ﷺ alieleza hivyo aliposisitiza kuwa sheria haipaswi kupindishwa kwa sababu ya hadhi ya mtu.
Chanzo: Sahih al-Bukhari, 3475; Sahih Muslim, 1688.
Funzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
Sa100 alisha sema ..msahafu na katiba na biblia ni viji vitabu tu vya kuchambia mbele yakeSamia na kundi lake anateka, anatesa, anapoteza na kuuwa kwa kufuata katiba gani?
Agano la Kale, jipya yamefutwaMbona hayo yote hadi kwenye biblia yapo.
Uongo, amesema katiba , sio Quran hajasema hivyoSa100 alisha sema ..msahafu na katiba na biblia ni viji vitabu tu vya kuchambia mbele yake
Hujui kitu, kajifunzeMuongozo unadandanya watu kwamba mbegu za kiume zinatengenezwa katikati ya mbavu badala ya korodani?
Haujaiona mistari ya agano jipya nimeweka hapaAgano la Kale, jipya yamefutwa
Ona
Walawi 19:15
“Msipendelee watu katika hukumu; usimpendelee mtu maskini, wala kumheshimu mtu mkuu; bali utamhukumu jirani yako kwa haki.”
Mathayo 5:44
“Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.”
Mithali 24:17
“Usifurahi aangukapo adui yako; Wala moyo wako usishangilie ajikwaapo.”
Hiyo mithali waswahili wakaamua watunge na nyimbo
View: https://youtu.be/vEFDVe77Tdk?si=zs4Zbzr61A6jc0jI
Mithali 31:8–9
“Fumbua kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu; kwa ajili ya haki ya wote walioachwa peke yao. Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki; uwapatie maskini na wahitaji haki yao.”
Kumbukumbu la Torati 16:18–20
Weka waamuzi na maakida katika malango yako yote akupayo Bwana, Mungu wako, kwa kabila zako; nao watawahukumu watu kwa hukumu ya haki. Usipotoe hukumu; usipendelee nyuso za watu; wala usipokee rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye hekima, na kupotosha maneno ya wenye haki. Haki iliyo haki ndiyo utakayofuata, upate kuishi, na kuirithi nchi akupayo Bwana, Mungu wako.
Mithali 11:1
“Mizani ya hila ni chukizo kwa Bwana; Bali vipimo vilivyo sahihi humpendeza.”
Warumi 13:7
“Mpeni kila mtu haki yake; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.”
Swali , nani anatakiwa asiamie hayo maandishi ktk biblia?Uislamu unataka makadhi ktk serekali ya kiislam ndio isimamie.Haujaiona mistari ya agano jipya nimeweka hapa
Ni hivi agano jipya na agano la Kale yote ni sehemu ya maandiko matakatifu kwa wakristo.Uongo, amesema katiba , sio Quran hajasema hivyo
Hio maada nyengine.Ni hivi agano jipya na agano la Kale yote ni sehemu ya maandiko matakatifu kwa wakristo.
Vitabu 73 kwa wakatoliki
Vitabu 66 kwa wale wengine
Ndio maana ukienda kwenye ibada ya misa takatifu soma la kwanza litatoka kwenye agano la Kale na msomaji akishamaliza kusoma neno atasimama kwa unyenyekevu na kuimba neno la Bwana na jeshi kubwa la waamini Tumshukuru Mungu
HayaHio maada nyengine.
Msituite mashoga bana.Mashhoga mna tabu!
Sasa hayo maandiko aliyonukuu mbona ni mazuri yanasisitiza haki ma wajibu! Au nyie wakristo hampendi haki na wajibu? ndiomaana manabii wa uongo wanawapiga pesa Kila siku mmbwa nyie.
Katika ukristo ni kazi ya wachungaji na walimu kuwafundisha waamini neno la Mungu. Waamini wakisikia wanaliishi.Swali , nani anatakiwa asiamie hayo maandishi ktk biblia?Uislamu unataka makadhi ktk serekali ya kiislam ndio isimamie.
Kama Hilo likitabu Lina maana Sana, na ni silver bullet ya maendeleo, Somali, Sudan, Libya, Yemen, morroco, kote huko ni shida tupu, mnakimbilia kwenye nchi zinazokula kitimoto!Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi zenye waislam wengi na wao wametumbikia katika mtazamo wa kimagharibi wa kupenda kuwatawala wengine na mali zao, hatimae nchi zao zimeingizwa ktk mtafaruku wenyewe kwa wenyewe.
Kwanini Quran ndio muongozo sahihi?
Allah anasema: “Wala kuchukiana na watu fulani kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na uchamungu.” (Qur’an 5:8).
Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Allah, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu.” (Qur’an 4:135)
Funzo: Usifiche ukweli ili kumlinda ndugu, rafiki, kiongozi au mtu unayempenda.
Na mnapohukumu baina ya watu, mhukumu kwa uadilifu.” (Qur’an 4:58)
Funzo: Viongozi, mahakimu na wenye mamlaka wanapaswa kuhukumu kwa haki, si kwa rushwa, ukaribu au maslahi binafsi.
Mtume amesema.
Kilichowaangamiza watu waliokuwa kabla yenu ni kwamba mtu mwenye heshima miongoni mwao akiiba, humwacha; lakini mtu dhaifu akiiba, humtekelezea adhabu.”
Mtume ﷺ alieleza hivyo aliposisitiza kuwa sheria haipaswi kupindishwa kwa sababu ya hadhi ya mtu.
Chanzo: Sahih al-Bukhari, 3475; Sahih Muslim, 1688.
Funzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
BILA YA KUTUMIA QURAN KAMA NDIO KATIBA YETU DUNIANI, BASI TUTEGEMEE HAYA YANAYOTOKEA DUNIANI YATAZIDI
Katika Uislamu kunatakiwa kuelimishwa, ukiwa husikii unapewa adhabu kwa njia ya haki na uadilifuKatika ukristo ni kazi ya wachungaji na walimu kuwafundisha waamini neno la Mungu. Waamini wakisikia wanaliishi.
Taifa lenye wakristo wengi wenye imani kwa mwenyezi Mungu maana ake litakuwa na viongozi wakristo kwa hiyo watatunga sheria zinazoendana na Imani yao. Na kutakuwa na polisi na mahakama na kadhalika. (Hii ni kwa secular Government)
Wakristo pia wanaweza kuwa na serikali za kidini zinaitwa theocracy.
Biblia au agana jipya haiwafundishi wakristo jinsi ya kuunda serikali na mifumo ya utawala. Kwa hiyo kwenye taifa la kikiristo hekima hutawala.
Baadhi ya viongozi wa dini mara nyingi huwa hawapendelei kujiingiza moja kwa moja kwenye utawala wa kiserikali ili kujitenga na ufisadi na majanga mengine wanaokuwaga nao watawala wa kiserikali
Huko kote wamefata mataifa ya magharibi, viongozi wao wanafata sera za magharibi badala ya kufuata Quran na sunnah. Kwa ufupi hawafati sharia za kiislam kikamilifuKama Hilo likitabu Lina maana Sana, na ni silver bullet ya maendeleo, Somali, Sudan, Libya, Yemen, morroco, kote huko ni shida tupu, mnakimbilia kwenye nchi zinazokula kitimoto!
Huo utumbo mtawadanganya wapumbavuHujui kitu, kajifunze