vijana

  1. MKATA KIU

    Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  2. Eli Cohen

    Unataka kutengeneza dough ya uhakika? fanya hivi, Wauzie "attention" wanawake, Wauzie "lust" wanaume na Wauzie "dreams" vijana wadogo.

    WOMEN, ATTENTION $Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30. $Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume. $Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake. $Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake MEN, LUST $Uza cha kumfanya mwanaume...
  3. Ileje

    Kichekesho: Eti Tanzania iko tayari kuzifundisha nchi za Afrika vijana wajiajiri!

    Haya ni matusi kwa vijana wa Tanzania! Rais Samia ameonyesha dharau kwa vijana! Je ni vijana wangapi wamenufaika katika mpango fake wa BBT kiasi Rais ajisifu na kutaka azifundishe nchi zingine za Kiafrika? Huyu Mzanzibari hatufai kabisa na hastahili kuendelea kuwa madarakani!
  4. K

    Ajira hakuna ila kazi zipo nyingi sana vijana tutumie akili

    Ety watu wanaunda umoja wa waalimu wasio na ajira(NETO) Hivi kazi zote hizi kitaa wewe una shahada unashindwa kufanya mpaka ulalamike?? Ajira hakuna ila kazi ni nyingi tumieni akili
  5. Shooter Again

    Vijana nawashauri kanunueni viwanja kibaha mtanikumbuka

    Kwa mijengo inayoshushwa kibaha Sasa hivi muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki na mtanikumbuka aisee nimetembelea Jana Kila maeneo ni ujenzi tu unaendelea yaani muda sio mrefu ardhi itakua gharama sana kibaha na watu hawatoamini mda haurudi nyuma vijana narudia tena nunueni viwanja kibaha...
  6. Stephano Mgendanyi

    Katimba: Serikali Itawafikia Vijana Wapate Elimu ya Kudhibiti Maambukizi ya VVU

    KATIMBA: SERIKALI ITAWAFIKIA VIJANA WAPATE ELIMU YA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA VVU Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Ofisi hiyo itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu na wadau wa maendeleo kuhakikisha inawafikia vijana na kutoa Elimu ya tahadhari na...
  7. The Watchman

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  8. T

    Pre GE2025 Dkt. Tulia awataka vijana kujitokeza kugombea kwakua CCM imejipanga kushika dola

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa CCM imejipanga kikamilifu kuhakikisha inaendelea kushika dola...
  9. Manfried

    Vijana masikini manaobiwa tafuta hela na wanawake jifunzeni kwa Diamond

    Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
  10. Jack Daniel

    Hasira za vijana na namna wanavyoishi

    Salaam jamiiforum Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao. Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
  11. Bunchari

    Jinsi HR officers wanavyoua ndoto za vijana wengi

    Habari wakuu Katika pilika pilika za kutafuta ajira,nilijaribu kutuma maombi taasisi fulani ,mchakato wa maombi ulipokamilika nikapigiwa simu na hr nimekua selected hivyo niende kuonana naye. Nilipofika ofisini kwake,akaniagiza siku inayofuata niende na watu watakao nidhamini niliitikia wito...
  12. I

    Wakandarasi wenzangu miradi imeanza kufunguka, tokeni magetoni

    Vijana wenzangu, poleni na jua kali. Ni jambo jema kwetu sisi wasio na ajira kuona miradi ya kimkakati ikianza tena kufunguka. Kiukweli, hapo nyuma miradi mingi ilisimama ghafla. SGR Tabora - Kigoma Fika Ulambo, kuna kambi pale, na maoperator wameshaanza kazi ya division. Morogoro Bwawa la...
  13. I

    mkopo wa namna hii ni kuumiza vijana .

    habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda . aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni mkopo wa miaka 2. viongozi kweli bajaji ya milioni 7 mtu alipe 20 milion kweli.
  14. Eli Cohen

    Hivi ni baadhi ya vitu vijana wa daslamu wale wa "born here here" wanavionaga ni vya ajabu sana na unbelievable kwao.

    1: Kukutana kimwili na mdada ambae ni bikra OG pale utakapo mmoa. Hadi wanaandika nyuzi humu namna ya kumtambua mdada alie bikra kitandani😂 2: Kula Kuku na mayai ya kienyeji 3: Kwamba kuna vijana ambao hajawahi kula chips maisha yao yote. 4: Kusalimiwa na binti huku akipiga goti 5: Kwamba...
  15. B

    Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

    Hili jambo linanifikirisha sana. Sababu hasa ni nini. Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa. Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi. Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na...
  16. Gol D Roger

    Kwanini kataa ndoa wengi ni vijana wa kikristo

    Ngoja tu nianze kwa kusema, This is all "Allegedly". Observation yangu ni kwamba vijana wengi wa kataa ndoa asilimia kubwa ni vijana wa kikristo, au wana background ya kikristo au ni atheists. Yes kila mtu ana experience zake but kwa mm, watu ambao nime interact nao(kweny mada za ndoa na...
  17. G Sam

    Hawa vijana ambao walikuwa "Team Mbowe" kwa kweli wanahuzunisha

    Nawazungumzia watu kama Godlisten Malisa ambaye ajira yake ya kwanza aliipata ndani ya ofisi ya KUB baada ya Chadema kushinda kura nyingi na kuwa chama kikuu cha upinzani kwa mara ya kwanza. Anasahau kuwa fadhila hazikutoka kwa Mbowe bali zilitoka kwetu sisi tulioipigia kura Chadema na...
  18. K

    Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent😣😣😣😣 Huyu dogo mpira ukianza kumtupa...
  19. Paspii0

    Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  20. The Watchman

    Vijana 132 wakamatwa Kibaha wakijihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa ni utapeli

    Katika tukio la kushtua, vijana 132 wenye umri kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa Tanzania wamekamatwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini mkoani Pwani, wakiwa wanajihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa kuwa ni ya kitapeli. Biashara hii inadaiwa kufanyika kwa...
Back
Top Bottom