vijana

  1. Cobra70

    Nashauri tanzania iingie mkataba wa haraka na congo vijana wa Kitanzania wapate ajira ya haraka

    Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha. Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo kupelekea wengine kushindwa vigezo vya kujiunga na jeshi hilo na wengine kudondokea kwenye mikono ya...
  2. majam19

    Kijana jifunze kutambua nyakati 4 muhimu katka mahusiano

    Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma ulifanye ndani mda sahihi hapa namaanisha (time) Kwahyo majaribu kuhusianisha maneno haya jinsi...
  3. R

    Ni kwanini Elon Musk haondoi video za pono kwenye huko twitter, hii kitu ina addiction kali sana kwa vijana

    Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili Porn inachochea kujichua ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda...
  4. K

    VIJANA PITIENI TAUSI PORTAL MTAKUJA KUNISHUKURU.

    Ujumbe huu uwaendee vijana watafutaji na wawekezaji hasa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ARIDHI. Ingia google andika Tausi portal ingia kwenye menu.Angalia sehemu imeandikwa LAND SALES🤝 Ukiingia kupitia computer utaona details nyingi kama bei ya kiwanja,ukubwa wake na plot namba.Simu...
  5. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 RC Chongolo: Amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani hususan uvushaji wa bidhaa za magendo. Akizungumza na kikundi cha bodaboda cha Itumba wilayani Ileje akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo kwa ajili ya kukagua...
  6. The Watchman

    Pre GE2025 Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida yakabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imekabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Asia Messos,akizungumza jana wakati wa hafla ya kutoa mikopo hiyo alisema baada ya dirisha kufunguliwa jumla ya...
  7. The Watchman

    Pre GE2025 Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya shilingi milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu. Mkopo huo unalenga kuwawezesha wanufaika kukuza shughuli zao za kiuchumi na kujitegemea, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali...
  8. The Watchman

    Pre GE2025 Waziri Ridhiwani akabidhi hundi ya mil 730 kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu Muheza

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekabidhi hundi ya shilingi Milioni 730 kwa Vikundi 74 vya Vijana, Wanawake na Watu wenye Ulemavu inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ya Muheza Jijini Tanga. Akizungumza...
  9. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaainisha Mikakati ya Kuwawezesha Vijana Kushindana Kwenye Soko la Ajira

    BUNGE limeelezwa mikakati mitano inayofanywa na serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana nchini na namna kumudu ushindani kwenye soko la ajira. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hayo Februari 10, 2025...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali. Soma: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA Amesema CCM inamipango...
  11. KikulachoChako

    Angalizo kwa vijana wa kiume; Kuwa makini sana usijekuwa "RETIREMENT PLAN" ya mwanamke yoyote kwenye dunia hii

    Habari za muda waungwana wa hapa jamvini........ Hakika ujana una harakati na changamoto nyingi sana....... Kijana Umekuwa katika mazingira magumu huku ukiipata elimu kwa tabu kutokana na uchumi wa wazee wako...... Umeyashinda magumu hatimaye umeihitimisha safari yako ya kielimu na kuingia...
  12. Yoda

    Vijana wengi wanapenda kutunza wazazi wao ila uchumi binafsi umewakaba koo

    Watoto wala hawana haja ya kuhimizwa kutunza wazazi, tatizo unakuta watoto wenyewe wako mjini wanabangaiza tu wana watoto wao pia, wake, michepuko, madeni n.k.
  13. Natafuta Ajira

    Vijana wanasema hadharani kabisa kwamba wananunua sex

    Katika pitapita zangu nikatulia sehemu moja hivi ambapo kwa pembeni yangu kulikua na vijana mchanganyiko wanapiga story. Sikuwahi kufikiria kama itafika wakati wanaume watajitokeza hadharani na kukubali waziwazi kwamba wananunua sex, lakini leo hii imekua kawaida. Kiukweli maongezi yao...
  14. The Watchman

    Dkt. Philip Mpango: Vijana kama wazazi wenu wapo hai watunzeni

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa kuwatunza, kuwalea na kuwaonyesha upendo akimtaja mzazi kama kiungo muhimu katika familia na wakili wa Mwenyezi Mungu hapa duniani. Dkt Mpango ameyasema wakati wa ibada ya misa...
  15. M

    Vijana hawataki kuoa kwa sababu wana njaa!

    Wana-JF, mimi nawasalimia. Kwa muda sana natafakari haya maisha ya hawa vijana hususani wa kitanzania, ambao wanakataa ndoa. Kwa tafiti zangu 'informal', nimebaini kuna tatizo kubwa sana linapelekea hili. Nalo si jingine, ni NJAA. NI wazi, usipokula lishe bora, hata akili yako haifikiri vema...
  16. The Watchman

    Pre GE2025 UVCCM Lindi: Vijana acheni kuwa madalali wa wagombea, wanaofanya kampeni kampeni kabla ya muda kukiona

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani. Akizungumza na KITENGE TV Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo mkoa wa Lindi, Patrick Magarinja alisema kuwa...
  17. Akilindogosana

    Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu

    Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu.
  18. Mshangazi dot com

    Nyimbo gani ya zamani ujumbe wake inabidi uwafikie vijana wa sasa?

    Starehe - Ferooz & Prof J “Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalay**a , vipimo vinaonyesha ni kweli umeathirika, I am very sorry kupoteza nguvu ya Taifa” Asante min -me kwa kunikumbusha hii ngoma jana.
  19. RRONDO

    Vijana Kuweni na Busara hata Kidogo

    Jana jioni nilikuwa nafanya mazoezi(jogging) nikapita barabara moja kuna ghorofa linajengwa. Nikasikia kijana mmoja (27-30yr) anafoka na kutukana kwenye simu. 'WEWE MZEE SIKU YA PILI LEO NAFIKA HAPA UMEACHA LINDO. HUO UZEE WAKO MIAKA 70 ISIWE KIGEZO KUTUSUMBUA. KAMA ULITUMIA HELA ZAKO VIBAYA...
  20. T

    Pre GE2025 Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

    Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa. Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa...
Back
Top Bottom