Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea 🙌🏽🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽.
Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange 😅😅😅😂.
https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%..
Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao.
Vyenginevyo...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Ukweli usemwe na uwekwe wazi
Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda
Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala
Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi
Inasikitisha sana
SAYUNI BOY
Hivi ukipost kuhusu kuokosoa uongozi mpya wa chadema basi hujibiwa kwa kejeli badala ya hoja.
Haya yanajitokeza ktk account mbali mbali ikiwemo Ngurumo katika hoja yake kuhusu hujuma anaetaka kufanyiwa mwenyekiti wa BAWACHA. Ukisoma comment za wanaCHADEMA utaona wazi kuna gap kubwa kati ya...
Kuna tumu nane mpaka kumi kwenye ligi kuu,haziwezi kyifunga yanga.
Hizo mechi ukizidisha mara mbili yaani home and away ni mechi 20
Ukiweka milioni kila mechi kwa msimu mmoja una sh ngapi??
Sio mpaka niwafundishe kila kitu
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Sisi kama watanzania tunataka uwazi na haki itendeke wakati wote wa kupiga kura, kutangaza matokeo, na kutangaza mshindi wa uchaguzi wa diwani, mbunge na rais kwa uchunguzi wa 2025.
Japo mifumo yetu ya uchaguzi sio rafiki kufanya uchunguzi mkuu uwe wa uhuru na haki ila ni TAKWA LA WANANCHI...
Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
Benki ya Dunia imesema ipo tayari kutoa mitaji, dhamana na usaidizi wowote ili kuhakikisha Sekta binafsi inakuwa kipaumbele hususani katika kuwasaidia Vijana wa Afrika kufikia ndoto zao na maono yao kwa kuwekeza kwenye Sekta ya nishati.
Akiongea wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...
Wakuu habari!
Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya kibiashara yenye tija kwa jamìi na ulimwengu na kuwasaidia vijana kufikia malengo yao huku wakiongeza...
1. Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Afrika Kusini na Kenya wazee tupu.
2. Vijana wapo bize wanabet wengine wanapakazana uchafu tu. Inasikitisha
"Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
Huu ni mwanzo tu tumeona huko Dodoma wasanii walikuwa kama sanamu vijana hawakuwaaikiliza wala kuwachukulia umuhimu.
Vijana wote walikuwa wanamwangalia Lissu na Heche. Vijana wameanza kujua hawa ni machawa na hawana faida kwao yeyeote zaidi ya kiki na nyimbo zao.
CCM watapoteza pesa bure...
Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025.
Kauli zao zinaonyesha kushangazwa na sababu za kutekelezwa kwa mchakato huu kwa haraka na bila tahadhari ya kutosha.
Hali hii imepelekea hisia za wasiwasi miongoni...
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana.
Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
-kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani
-Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka
-Kijana wa tatu Ameiba Sadaka kanisani na kwenda kuwapa maskini na yatima
Je ni nani mtenda dhambi ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.