vijana

  1. Nawashukuru Sana

    Napenda kuwafundisha somo moja vijana kuhusu Network na connection.

    Vijana wengi wanachomini kuwa hauwezi kufanikiwa pasipo Connection . Ila ukweli ni kwamba kuwa hauwezi kufanikiwa Pasipo network. Nini maana ya Connection - Kuungana wewe na mtu Fulani . Mfano mwaka fulani pale UDSM nilikuwa na ndugu yangu (RIP) alikuwa ni lecturer huyu jamaa alikuwa...
  2. R

    Naomba kufahamu wajumbe wa sekretariet ya CHADEMa iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na uchaguzi mkuu 2025: vijana wana mengi yakujifunza kwao

    Moja ya jambo ambalo ningependa libali kwenye kumbukumbu na vitabu vya historia za uchaguzi nchni ni pamoja na majina ya timu iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na sasa uchaguzi wa viongozi wakuu wa CHADEMA. Wamefanikiwa kukamilisha uchaguzi wa mabaraza bila kuwa na pingamizi wala mjumbe au...
  3. ideakid

    Ajira Portal Login na Registration - Naona ni Changamoto Kwa Baadhi ya Vijana

    Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi...
  4. O

    Motivational speaker na madalali chanzo cha umasikini kwa vijana

    Watu wengi wakifanikiwa uanza kuwa motivational speaker,na wanatengeneza story ili wauze wapate pesa zaidi kwa wasio na pesa. Unamponda kijana hana nyuma wala mbele kama vile andazi, kitumbua au chapati. Unamwambia afanue uwinga au achinga mtaji ni mdogo tu lakini aumpi abc za wapi aende...
  5. T

    Pre GE2025 Tito Magoti: Wahitimu acheni kutumika kupush hashtags, tafuteni kazi za kuwapatia kipato

    Wakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  6. tpaul

    Diamond awatukana vijana wa Tanzania; 'wana njaa'!

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii wa muziki na mmiliki wa biashara, ikiwemo WASAFIBET, ameamua kuwatukana vijana wa kitanzania kwa makusudi kwa kuchapisha tangazo lenye nia ovu ya kudhalilisha, kutweza na kubagaza utu wa vijana wa Tanzania. Ni dhahiri shahiri kuwa amewalenga vijana kwa...
  7. sajo

    Serikali pangisheni yaliyokuwa majengo ya Wizara na Taasisi mbalimbali DSM vijana tupate ofisi na ninyi mpate kodi

    Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa Wizara karibu zote zimehamia Dodoma ambapo zina majengo katika mji wa serikali Mtumba. Kwa miaka yote...
  8. Magical power

    Ugonjwa wa vijana ndo umauti wao

    UGONJWA WA VIJANA NDO UMAUTI WAO. Dhana mnayoiendekeza namnaiona ndo pepo yenu tambueni ndo umauti wenu pia maana hakuna kizuri kisicho kuwa na kasoro. Yes nawakumbusha Vijana 👇 Mashangazi hupenda vijana kwa sababu ya Pumzi na ni Wateke Wanakuna mpaka Pochi manyoya zao zinaitika na wanaipata...
  9. M

    Ushauri kwa vijana wenzangu

    Jiamini na Jitambue; Fahamu thamani yako na tambua uwezo ulionao. Kujiamini kunakuwezesha kuchukua hatua kubwa kuelekea malengo yako. Tambua kile unachokipenda na kilicho na maana kwako. Mfano: Mo Dewji, mjasiriamali maarufu Tanzania, aliamini uwezo wake na kujitambua, akajenga kampuni yenye...
  10. W

    Vijana mnaolalamika mapenzi mnazijua stress za mikopo ya biashara ?

    Nyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki Ndugu wanaona una pesa duka limenawiri bila kujali ni mkopo, Ni kama vile inaanzishwa ligi ya kukutupia matatizo yao halafu ukikataa...
  11. M

    KERO Mamlaka zimeshindwa kudhibidi Vijana wanaovamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Tabora Polytechnic College?

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College ambacho kipo Ipuli, hapa chuoni kwetu pamoja na mitaa ya karibu na hapa kuna kundi la Vijana wanaojiita Mabamzi ambao ukikutana nao barabarani hasa majina ya usiku au jioni badi tambua kazi ipo. Hawa vijana wamekuwa wakipiga watu...
  12. ngara23

    Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

    Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa...
  13. Valencia_UPV

    Pre GE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

    Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020. Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  14. ChoiceVariable

    DR Congo imewanyonga Majambazi 102, Tanzania tunacheka na Panya Road, Wadudu na Magenge Mengine ya Wahalifu

    Serikali ya Congo imewaua wanaume wapatao 102 kwa njia ya kunyongwa wiki iliyopita, na wengine 70 wanatarajiwa kuuawa. Waziri wa sheria wa nchi hiyo alisema Jumapili katika taarifa kwa Shirika la Habari la Associated Press. Waziri alisema wanaume hao, wenye umri wa miaka 18 hadi 35, walikuwa...
  15. Nyanda Banka

    Vijana tujiajiri, kataa kuwa mfungwa

    Kuna watu wanapata pesa nyingi na hawapo katika mfumo rasmi wa ajira Ni kweli kuwa wazazi, ndugu na jamaa wanatamani upate ajira serikalini wakiaamini ndiyo njia sahihi ya kufanikiwa katika maisha yako jambo ambalo sio la kweli moja kwa moja na hii yote ni kutokana na ile dhana ya uoga wa...
  16. C

    Vijana Wawili kwa ajili ya Kazi ya Ulinzi Dar

    Na uhitaji wa haraka sana wa kijana wa Ulinzi katika ofisi yangu. Vijana wawili watakao kuwa wanaingia kazini saa 3 usiku na kutoka saa 1 asubuhi. Majukumu ni ULINZI wa Mali zinazolala Nnje ziwe salama. Mshahara kwa mmoja ni 150,000 KAma nitapata DEIWAKA wa kulinda kwa siku mbili tatu hizi...
  17. Rorscharch

    Fahamu Makundi Mbalimbali ya Vijana Wanaokaa Vijiweni (Jobless)

    Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji, wakipiga gumzo au kushiriki michezo ya bahati nasibu, wanatoa picha ya taifa ambalo limewaacha wakiwa...
  18. Dr Akili

    Tafakuri: Sera ya ukomo wa madaraka itapiga spana na kuathiri vipaji ya vijana. Wazee kama Tundu Lissu hawataathirika

    Moja ya sera ambayo imekuwa ikipigiwa kelele na kambi ya Tundu Lissu ni ya kuweka muda wa ukomo wa viongozi wa chama cha siasa cha chadema. Kwamba kiwe ni vipindi vya miaka mitano mitano vizivyozidi viwili. Ukiitafakari sera hiyo utagundua kuwa kiuhalisia wenye umri kama wa Tundu Lissu, sera...
  19. Pang Fung Mi

    Hotuba ya John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA ni Ishara Vijana wa CHADEMA choka Mbaya

    Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
  20. M

    Sylvester Kasulumbai: Mbowe amechoka atolewe tunataka fikra hasa toka kwa vijana

    https://youtu.be/Ps_At3HbjrE?si=ZUrRKKExyS_OxZ_z Mbunge mstaafu wa CHADEMA Maswa anatamani Mbowe awekwe kando ili zipatikane fikra mpya
Back
Top Bottom